Viwanja viwanja viwanja

cabo

JF-Expert Member
Jun 15, 2016
4,751
5,224
Viwanja vipo vimepimwa na vina vibali vyote viwanja vipo maeneo ya kibada ni sehemu nzuri sana ni maeneo ambayo yameanza makazi ambapo kumejengwa nyumba kwa mpangilio mijengo ya maana hata masaki hapa ingiii karibu kwa anaehitaji tuwasiliane kwa kuni PM
 
Unauzaje? vina hati? ni umbali gani kutoka ferry? ni vyako? vimebaki vingapi?
 
KWAIYO MLITAKAJE SASA

Mkuu kwanza Tangazo lako halijakamilika, kama ni kweli biashara basi usingesita kutoa maelezo ambayo mtu akisoma hana haja ya kujiuliza maswali mengi. Mfano mdogo...weka namba zako hapo, ni umbali gani kutoka ferry, n.k sio kila mtu ana muda wa kuja PM kwa Tangazo kama hili open. Thanks
 
Sawa karibuni sana wadau, viwanja vipo Kibada km 11 kutoka Ferry.
Tunauza Square Mita moja Tsh. 5,000
Hivyo kiwanja cha 20m x 30m ni SQM 600 kinauzwa Tsh. 3,000,000 tu
Bila kusahau maongezi yapo. Umeme na maji pia vipo! Karibuni
 
Hati vipi?
 
hayo maji yanatoka wapi chanzo chake tafadhali
 
Umbali kutoka bara bara kubwa ya lami na je vina njia ya gari na namba ya simu tuwekee
 
Naomba mawasiliano yako. Am a serious buyer.

Sawa karibuni sana wadau, viwanja vipo Kibada km 11 kutoka Ferry.
Tunauza Square Mita moja Tsh. 5,000
Hivyo kiwanja cha 20m x 30m ni SQM 600 kinauzwa Tsh. 3,000,000 tu
Bila kusahau maongezi yapo. Umeme na maji pia vipo! Karibuni
 
Sawa karibuni sana wadau, viwanja vipo Kibada km 11 kutoka Ferry.
Tunauza Square Mita moja Tsh. 5,000
Hivyo kiwanja cha 20m x 30m ni SQM 600 kinauzwa Tsh. 3,000,000 tu
Bila kusahau maongezi yapo. Umeme na maji pia vipo! Karibuni
picha ya eneo
 
Back
Top Bottom