Nyumba Vyumba Viwili Mbezibeach INAPANGISHWA

Nyumba Vyumba Viwili Mbezibeach INAPANGISHWA

Playman

Member
Joined
Jan 1, 2021
Posts
67
Reaction score
18
Nyumba ina vyumba 2 kimoja ni masta, pamoja na sebule, jiko, choo cha wageni.

~ Nyumba ipo karibu na barabara, dakika tano kwa mguu hadi kituoni. Ina eneo la kuegesha gari, huduma ya maji dawasa, luku ya umeme wake.
Bei Tshs 300,000 kwa Mwezi
Kodi ya miezi 6

Tuwasiliane: 0742141467 | 0716442950View attachment 1752058
IMG_20210414_121030.jpg
View attachment 1752055View attachment 1752057View attachment 1752059View attachment 1752060View attachment 1752061
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom