Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Salaam Sana nimeanzisha bustani nzuri Sana ya maua nyumbani kwangu. Nitakuwa napost maua tofauti tofauti na Bei zake Kama unataka mengi Kuna punguzo na delivery kwa Bei nafuu Sana! NB: Kama Kuna...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Huduma hii inamsaidia mtoto kujifunza maada mambazo hajazielewa vizuri na wale pia wanaojiandaa na mitihani tuna package zao. Vitabu na material zote ni Bure kabisa.( softcopy)
0 Reactions
0 Replies
463 Views
Ina vyumba 3, umeme na maji yapo. Ipo ndani ya fensi. Kodi. Laki sita kwa mwezi na inalipiwa kwa mwaka mzima. Kodi ya udalali: Laki sita. Site visit, 10000. Mawasiliano...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
SONY HOME THEATER [emoji91] [emoji108]BEI 885,000/= . [emoji117]BLUETOOTH & HDMI ARC [emoji117] 1000 W [emoji91]USAFIRI BURE [emoji598][emoji598] . . LOCATION: K/KOO Jirani na Simba Sports Club...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau, Kwa wale wanaomiliki vituo vya radio habari hii inaweza kuwahusu kwa namna moja au nyingine! Kwa sasa kuna changamoto kubwa sana kutokana na radio nyingi sana kuanzishwa na bado...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari Waungwana! Mwenye kujua mtambo wa kusafishia picha unanunuliwa sh. ngapi na huwa unaitwaje tujuzane jamani.
0 Reactions
17 Replies
9K Views
Tuna fanya Programming ya funguo za magari zinazotumia sensor(transponder) na smart key(keyless or push to start key).kwa magari aina zote yaani TOYOTA,VW,BMW,FORD nk. Kama unahitaji funguo ya...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Mambo Ninafikiria kutengeneza sakafu ya nyumba yangu. Options zilizopo ni tiles terazzo au sakafu ya mbao. Kwa wale wenye uzoefu wa ujenzi, sakafu ipi kati ya hizo ni cheapest kujenga?
0 Reactions
34 Replies
16K Views
Wakuu Niko dar es Salaam, Naitaji Samsung note 10 Bajet ni sh laki saba cash Simu iwe kwenye hali mzuri no michubuko kabisa, Mwenye nayo ani dm
0 Reactions
1 Replies
939 Views
Kwa wale wahitaji wa makaburi ya marbo na design Aina zote kindly inbox
3 Reactions
18 Replies
15K Views
Msaada wenu muhimu Nimejichanga vimilioni hivyo nahitaji hiyo gari rangi nyeusi. Nipe jina la dalali maarufu atakayenipa gari iliyokaza bodi hadi miguu kwa bajeti yangu hiyo Au kama yupo hapa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sifa za kiwanja 20*20m Kina msingi wa kisasa Vyumba vitatu, kimoja master, sitting, dinning na jiko Kinafikika kwa gari Umeme na maji vipo karibu Mazungumzo mengine yapo
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu bado sijapata IST natafuta offer yangu ni 7m
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa wamiliki wa vituo vya Radio wanaohitaji Live Radio streaming Ninatoa Radio streaming service @ 128Kbps kwa Sh 100,000 tu kwa mwezi *Radio itapatikana kwenye Tune-in, streema.com na embeded...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
INAPANGISHWA NYUMBA ( APARTMENT ) Mahali: Kinondoni, Dar es Salaam Bei: Tsh 600,000 kwa Mwezi, Malipo: Kodi ya Miezi 6 FEATURES: Nyumba Vyumba 2, Chumba kimoja ni Masta Sebule. Jiko. Choo cha...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
kwa mkulima mzalishaji wa mbegu ya vitungu vyekundu led bombey or led creole . Nahitaji debe 1 la kupima kwa ndoo. plan yangu ni kulima ekari tatu. Location ya shamba ni Sumbawanga vijijini...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wakuu? Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Nina wazo zuri sana, ambalo nimeshaliandalia PROPOSAL tayari. Wazo hili utekelezwaji wake unahitaji APP na WEBSITE vyote kwa pamoja. Ila...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Computer Monitors zipo sokoni, zipo mbili 1. Brand: Targa Visionary. Specifications Screen Size 19'' Video Input DVI-D Built-in Speakers Condition : Used 2. Brand: AG neovo Specifications...
0 Reactions
1 Replies
642 Views
Nauza motor za umeme ni mpya kabisa toka kampuni ya maarufu sana ya vifaa vya umeme ya ABB , bei ni sh 400000 kila moja . Kwa anaehitaji piga simu 0712652110 DAR, Angalia label ya...
0 Reactions
1 Replies
922 Views
Back
Top Bottom