1991 model Japanese specs
Leaf flatted spring
Low mileage
New tyres by BF-GOODRICH TRIANGULAR MARKS MUD TERRAIN
Dashboard ndogo
PRICE IS 77 MILLION TSHS PLUS REGISTRATION
CALL/ WHATSAPP 0784225000
Naitaji Samsung Note 10 yenye hali mzuri no michubuko, ambayo imetunzwa vizuri.
Bajet yangu ni laki sita na nusu.
Niko Dar es Salaam.
Mwenye nayo tafadhali npm tufanye biashara.
Kwa mahitaji ya bustani/gardens za majumbani na maofisini,piga simu namba hizi hapa [emoji117][emoji117]0687239674.Tunapatikana Dar es Salaam, Tegeta na mikoani pia...
Hello members,
Natafuta mtu mwenye kuuza Diagnosis machine ya magari yote iwe mpya au used. Au kama kuna mtu mwenye software ya Diagonis machine aniuzie kwa ku install kwenye laptop yangu.
Karibuni
Wakuu
Kheri ya sikukuu ya Pasaka
Mimi ni mtanzania, natuma Simu Tanzania kwa bei za jumla hata 1pc unaweza agiza
Tuna ofisi Mbagala, kkoo, musoma, mwanza na Dodoma
Bajaj MC 459 CDG
Ipo Makumbusho, nilipaki muda mrefu (4 month) Sana sababu ya usumbufu wa hesabu kwa madereva usimamizi ni changamoto kwangu.
Haijawahi funguliwa engine hata kidogo.
Ina Bima...
Rola moja ya senyenge ina urefu wa mita 600 na senyenge ina unene wa milimita 1.6.
Inafaa kwe fensi ya nyumba, maboma ya mifugo, shamba nk.
Bei kwa rola moja ni 110,000/=. Zimebaki rola3...
Kichwa cha habari hapo juu chahusika.
Nina 3.5 m cash kwa ajili ya Kiwanja kipatikane maeneo jirani na dsm km vile vikindu nk.
Njoo na bei na sifa za Kiwanja chako.
Mi ninataka kikubwa kiasi chake.
Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kujua wanapouza pooltable mpya pamoja na bei yake, wauzaji wakiwa nyanda za juu kusini itapendeza zaidi.
Nb:kama huna cha kunijuza naomba upite...
Wakuu tusaidiane bei hzi za haya mazao eneo ulilopo...
Kibiashara zaid .....
Lengo ni kucheza na faida tu..
Inapobidi na kimchanganuo...kdogo..gharama ya usafir kwa gunia.ushuru...etc...itakua...
Wakuu nilikuwa Serengeti nimevunjwa vunjwa mgongo na mashimo nikiwa kwenye gari . Naomba anaejua sehemu nzuri ya massage Arusha mjini. Asanteni in advance.
Sent using Jamii Forums mobile app
Banda la chakula , chipsi na vyakula vingine linauzwa , lipo (SAUT) malimbe kwa masha karibu na hostel ya south village , lina vitu vyote vya kupikia na mabenchi ya kisasa , liko sehemu nzuri...
Ina vyumba viwii vya kulala , choo cha ndani na nje. Ina jiko ,dinning na baraza ya mbele na jikoni. Nyumba inajitegemea mifumo ya maji na umeme.
Ipo ndani ya fence,bei ni 250000/= fixed. Ipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.