fatherhood
JF-Expert Member
- Apr 22, 2021
- 538
- 560
Sasa field si elf 5
Namba yangu 0683238052 hii ya WhatsApp piaWeka namba ya simu ili wateja wengne wakupate kwa urahisi
Kwa mfano jumla ya walioONLINE jf kwa hivi sasa hii leo saa 8.44pm may 22 2021 ni watu 5393
wenye uwezo wa kuwaacces PM yako na kucomment ni members 1593 ambao wamesajiliwa JAMII FORUM
Na Guest ni 3800 ambao hao guest hawajalogin so hawana acces ya PM wala kucomment wanategemea namba yako ya simu ndo wakupate
Sio kweliSasa field si elf 5
Laki mbili ni nyingi ila itakua ngumu kupata laki mbili nyingine ili iwe laki nne inifae fieldLaki Mbili nakupa cash
Risiti ya hio pc unayo??Laki mbili ni nyingi ila itakua ngumu kupata laki mbili nyingine ili iwe laki nne inifae field