Decibel
Senior Member
- Nov 30, 2019
- 176
- 323
Habarini wakuu!
Naleta kwenu habari njema kabisa, kuna kiwanja/viwanja vinauzwa maeneo ya Nyasaka-Mwanza karibu na TABASAMU ENGLISH MEDIUM au ISTQAAMA ISLAMIC SCHOOL. Kiwanja ni kikubwa sana kina 9,750 Square Meters na kipo katika eneo la kimkakati kinaweza kutumika kwa matumizi ya biashara na makazi mfano; shule, hospital, kanisa, msikiti, apartments n.k
Unaweza pia kununua kwa plot ndogo ndogo zenye ukubwa wa 15*30 kutoka kwenye kiwanja hicho kikubwa.
Kiwanja kimezungukwa na barabara pia kimepimwa na kina hati kabisa.
Bei/price: 190 Mil kwa chote au 10 Mil kwa plot.
Maongezi yapo
0745 942 353