Kwa anayefahamu Bei ya POOL TABLE n

Kwa anayefahamu Bei ya POOL TABLE n

loupa

Senior Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
127
Reaction score
82
Naomba muongozo wa Bei na kulipata pool table
 
KENICE kwa Arusha la kufungua na token na ubao wa sementi ni 1.5M
La Ubao wa kawaida sijui mnaitaga fisherboard ni laki saba hilo ni la kufungua kwa kuvuta tu chuma linasoma mita
 
Langu hili nililinunua mwaka jana ubao sement kufungua kwa mia tano bei elekezi 1.5 M
IMG20201218180836.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom