Nyumba inauzwa Tarime Mjini

RORYA79

Senior Member
Apr 3, 2014
127
225
Nyumba kali sana inauzwa wilayani Tarime Mji, maeneo ya Nkende shule ya msingi, ina eneo la 25x40, nyumba ni kubwa sana ina vyumba 3 vya kulala na kimoja ni master, dining room, siting room kubwa sana, jiko na choo cha wageni.

Nyumba hii inahitaji kumalizia siling board, kupiga rangi na kuweka vigae basi. Umeme upo karibu sana. Bei ni sh. 40,000,000 mazungumzo yapo na sihitaji dalali tafadhari.

Kwa mawasiliano piga 0622250897

IMG-20200809-WA0030.jpeg
IMG-20200816-WA0057.jpeg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom