Plot4Sale Plot for sale at Kimbiji Kigamboni

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
755
468
Habari wakuu

Nauza kiwanja ambacho kipo Kimbiji Kigamboni
Kina ukubwa wa SQM 520
Kiwanja kina hati tayari toka ardhi
Umbali toka feri ni 35 Km
Kiwanja cha corner
Umeme na maji tayari
Mimi mmiliki sio dalali
Bei ni Mil 6 tu
Kwa mawasiliano 0762987034
Kiwanja No 140 kwenye picha

Adjustments.jpg

Adjustments.jpg
 
Kiluvya yenyewe huwezi kuuziwa kakiwanja ka 520 kwa 6m na ndo karibu itakua Kimbiji mzee? Acheni Udalali.

Mara ingine kama huna ufahamu wa kitu ni vyema ukauliza, usipende kutoa majibu ovyo sio vzr
 
Lete sababu kwanini mtu anatakiwa kununu kiwanja cheny 520SM na 35km kutoka ferry au 37km kutoka city center na si Kiluvya? Ambako nako ni kama 32km from city center kwa bei ya chini?
 
Karibu na Beach, pia ni strategic industrial area (upcoming) pamoja na Gezaulole.
Ningekuwa mimi nisingeuza sasa hivi, ningesubiri kidogo kwa sababu Gas industry ita boom muda si mrefu na maeneo ya kimbiji yatakuwa hotcake.

1620383436129.png
1620383622643.png

KILUVYA VS KIMBIJI
 
Siwezi kwenda kukaa 37km away from City Center kisa kufata bahari! Umefungua bandari pia hapo?
City center huwa unaenda kufanya nini?
Kwa sababu wakazi wa city centers za maana huwa wanakuja kimbiji kujivinjari.
Anyways enjoy ....
 
Lete sababu kwanini mtu anatakiwa kununu kiwanja cheny 520SM na 35km kutoka ferry au 37km kutoka city center na si Kiluvya? Ambako nako ni kama 32km from city center kwa bei ya chini?
Yaani unaongea kama mgeni wa Dar es salaam!!!

Kama hoja ni city center, na kama Kiluvya to city center ni around 32km, hivi una habari kutokana na jam ya Morogoro Rd mtu wa Kimbiji a Kiluvya wakitoka wakati mmoja, yule wa Kimbiji ananaweza kuwahi kufika City Center mapema zaidi kabla ya yule wa Kiluvya?
 
Morogoro road ina 8 roads Jam inatoka wapi? Ulikuja Dar lini mzee?? Mambo yamebadilika
 
Unahesabu na Mwendokasi, au?! Assumption niliyoweka ni mtu una usafiri wako mwenyewe, kwahiyo unatakiwa kutumia general traffic lanes!
 
Mi najizungumzia mwenyewe na Landcruiser Prado yangu TR150-
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom