Tende zinauzwa kwa bei nafuu

Tende zinauzwa kwa bei nafuu

Spectophotometer

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2019
Posts
378
Reaction score
507
Tende zinapatikana.Box moja 10kg.
Bei 56,000/=
Tunapatikana Dar es Salaam
Tunafanya delivery/Tunafikisha mzigo
Mawasiliano: 0767941735
Karibuni Sana
IMG-20200422-WA0004.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zinasaidiaga nn
1.Huongeza nguvu kutokana na kuwa na sukari ya asili, unaweza kuchanganya na maziwa na kupata mchanganyiko bora!

2.Huzuia meno kuoza, na ni tiba nzuri kwa wagonjwa wa anemia kutokana na kuwa na madini mengi ya chuma.

3.Hupunguza uwezekano wa kupata Kiharusi (stroke) kwani hazina cholesterol kabisa! Pia zina vitamini na madini kwa wingi.

4. Huongeza uwezo wa Kujamiiana kutokana na kuwa na kiwango

5.Zina kiasi kikubwa cha kamba kamba ambazo hufanya mtu apate choo kirahisi na laini

6. Licha ya kuwa tamu, tende haziongezi kiwango cha sukari mwilini, hivyo zinaweza kutumika kama mbadala wa sukari

7. Huimarisha Mifupa na kuondoa maumivu ya mara kwa mara ya mifupa kutokana na kuwa na madini ya chuma, na potassium kwa wingi.

8. Tende ina msaada mkubwa kwa mama mjamzito, humuongeza nguvu, na hazina madhara kiafya kwa mtoto. Pia husaidia kupata uzazi salama


9.Ulaji wa tende kwa wingi husaidia kuongeza mwili kwa wale waliokonda kupita kiasi. Hivyo hushauriwi kula tende kupita kiasi kama huhitaji kuongeza mwili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom