Wakuu nihitaji kukopa milioni moja fasta. Kuna mambo yamenibana, dhamana naweka hati ya kiwanja. Nipo Dar kama mtu ana idea sehemu naweza pata pia aniambie.
Wakuu kheri ya Idd,
Ndugu zangu wapendwa wote mlio JamiiForums ndani na nje ya nchi nawasalimia katika jina la 47Mbatizaji maana Mungu wetu sote
Niliona 'kibanda' flani kipo Wilaya ya Hai...
Big house for rent. Four Bed room (one is master),Seating room,Dinning room,Kitchen and Car parking.The house is in the fence with enough outside space plus outside toilet. Very near to tarmac...
Nyumba Inauzwa KIGAMBONI VIJIBWENI,
Yenye Vyumba (3) vya Kulala Kimoja wapo ni Master
Public Toilet
Sehemu ya Kulia Chakula
Jiko
Nyumba bado Ijamaliziwa ipo kwenye Lenta
Kiwanja cha Nyumba Kina...
Habari wadau wa nafaka nanunua mahindi yawe yamekauka vizuri sana yasiwe na uchafu
bei ni 350/kg malipo ni baada ya kushusha mzigo.
Tupo Arusha tunanunua kuanzia tani 10, mahitaji yetu ni tani...
Kabati zuri kabisa la kuuzia chipsi lina portion tatu na vioo safi naliuza kwa being ya laki moja tu. Limetumika wiki mbili tu. Nipo mbezi beach sala sala. Atakae hitaji anicheki 0679478758 au...
Gari ipo katika hali nzur xn na imetumika miez michache xn tz,ni model ya 2008,vvti eng,55k milleage,1490cc,na ni fully duty paid,bei yake 23m maongez kidg,piga 0768359292/0678224427
Habari wandugu,
Tunakodisha tablets for data collection au kwa kazi yeyoye inayohusiana na matumizi ya Tablets.
Zina Kamera zenye ubora na za kisasa zenye uwezo mkubwa.
Tunazo nyingi na za...
HP LCD monitor
Size: 47 cm (18.5 in) widescreen; diagonally measured
With VGA and Power cables
Price: 60,000/= Tshs
Location: Sinza Mori near Lufungila Bus Stop
Contact: 0752776793
Jiunge na MAFUNZO ya UPIGAJI PICHA kitaalamu (DIGITAL PHOTOGRAPHY).Tunapatikana KAWE-DAR ES SALAAM. Mafunzo yanaendeshwa kwa lugha ya KIINGEREZA na KISWAHILI. Pia Gharama za mafunzo ni Nafuu na...
Hello JF!
Kwa wale wamiriki wa taasisi, Kampuni, ama biashara yeyoyote nina ofa yenu leo[emoji3][emoji3].
Ofa yenyewe inahusu proffessional poster design yenye maudhui ya Eid, kwa ajili ya...
Habari waheshimiwa
Wataalam au wajuzi wa printer nina shida na Epson Printer kwa ajili ya kuprint DVD cover za HD picha so kwa anaejua naweza anza na printer ya aina gani hasa za Epson ambayo...
Karibu nikuuzie hii mashine.
Imekaa muda mrefu kidogo bila kutumika ila inawaka vizuri sana.
Iko full document
Changamoto zake:
Betri sio zima sana
Master brake ya mbele
Breki ya mbele
Hivi...
Habari wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta wauzaji wa mbao wenye mashine za kupasulia mbao. Ukiwa kama mtu binafsi ama kiwanda waweza kunipm pia kama ni wholesaler wa mbao pia...