Kama uzi unavosomeka ninaomba mwenye uelewa au anajua sehem wanapotoa mafunzo ya mbwa,na kuuza anisaidie, ninamhitaji sana, kama yupo ani tafute tuyajenge.
Nipo Dar, Kinondoni Bunju B.
Karibu...
Wakuu..
Natafuta pikipiki iliyo ktk hali nzuri kabisa.
-Iwe haijatumika zaidi ya mwaka na iwe namba C
-Iwe TVS, BOXER ama nyingine yenye muundo huo...
-Bei isizidi 1M
- Location iwe Dar
-Uwe...
Wakuu,
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoonesha. Ntasafiri kutoka Dar kwenda Mbeya siku ya ijumaa tarehe 7 Dec
Ila hata akipatikana wa Njombe au Makambako bado si mbaya. Kama yupo naomba...
Habari Wakuu.
Naandika kwa niaba ya rafiki yangu ambaye anatafuta usafiri "Private" kutoka kwa mdau yeyote anayetarajia kusafiri kutoka Dar kwenda Bukoba siku za hivi karibuni.
Rafiki yangu...
Natafuta canter nibebee mizigo yangu Arusha mjini, dereva wangu, mafuta yangu kwa wiki nalipa laki mbili kwa mmiliki wa gari kazi ni endelevu.
Mwenyenalo tuwasiliane 0686457546
Original Wireless Earbuds TWS
Deep bass and 3D Sound
Active Noise Cancelation
Touch Control
Long life battery
Charging time 1.5 hrs
Bluetooth Version 5.0
Designed for Comfort and Stability...
Natafuta Toyota Spacio New model (kibongo bongo) yenye cc 1490 na milage isiyozidi 100,000km. Iwe kwenye hali nzuri,sihitaji madalali, nafanya ya biashara na Owner.
Kama unalo ni PM kwa business...
PRICE UPDATED: 6,800,000
Model: Toyota HARRIER Lexus
Registration Number: A....
Colour:Silver
Engine: Petrol 2994cc VTI
Year 1999
Seat Capacity 5
Music redio
Full AC
Full documents (File)
Clean...
Kiwanja chenye nyumba na frem za maduka kinauzwa Igoma Jijini Mwanza
Details
Size: hatua 60 kwa 40 (hatua za miguu za mtu mzima)
Huduma zote za kijamii zipo wakuu wangu.
Eneo lilishaendelea...
Machine ya kuchanganya zege naiuza, crosca engine ina 10hp, inachanganya mifuko miwili ya cement.
Bei 6,000,000TSH, negotiable.
contact 0713737362 au 0679851483
Wana jamii kutokana na tatizo la ajira nimeamua kuwa mjasiliamali,kiofisi changu kiko hapo Giraffe hotel mbezi beach,tunafungua kuanzia saa 11 za jioni,karibuni mniunge mkono,tutaweza tu...
Kwa yyt mwenye hilo side cover la upande wa gearliver naomba tuwasiliane nipo arusha kwa Whatsapp nnamba 0787803577.Nipo Arusha
Natanguliza shukran kwenu
Inaprint : Black & Colored,
Copy: Black & Colored,
Scan: Black & Colored.
Inakidhi kwa matumizi ya Ofisini na Stationery.
Ni yangu, haina dalali.
Bei: 240,000/-,
Mawasiliano: 0778 179 575
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu...
Nyumba ipo Tabata Kisukuru(migombani)
Mita 200 kutoka barabara ya segerea -extenal kupitia jeshini
Nyumba ina vyumba vi nne (viwili ni master)...
Nimeamua kumsapoti mfanya biashara mmoja aliyemo humu JF..Wenyewe wanasema charity begins at home
Naomba kufahamishwa na ikiwezekana weka na location. Nikihitaji mawasiliano nitakufata PM..Karibuni.
Kulingana na utafiti uliofanywa, matatizo ya uzalishaji wa kuku ambayo wafugaji wa kuku wanakabilina nayo kwa kutumia mashine za kutotolesha vifaranga na huchangiwa na mambo yafuatayo:
1...
Kiwanja kinaunzwa
Kipo karibu na barabara ya kuelekea goba
Eneo ni mbezi louis
Umbali kutoka barabara kuu ni mita 20
Kubwa square mitre 4,000
Eneo linafaa kwa biashara mbali mbali
Bei milioni mia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.