Mambo vipi wanaJF
Mimi nahitaji fremu ya biashara ya kuweka Tigo pesa Mpesa na Airtel money, maeneo ni kuanzia Tabata Barracuda, Sanene, Tabata shule, hadi Segerea au Ubungo Riverside au Tabata...
Get 2 sheets + 4 pillowcases
Only for 55,000 tsh.
Deliveries in Dar and Outside[emoji736]
If you really need jus call or check me WhatsApp now 0685269533.
Kuelekea msimu wa sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya, jipatie baiskeli za gia za watoto kwa bei nafuu.
Tunapatikana Temeke jirani na Mahakama ya mwanzo.
Mawasiliano 0769763538
WhatsApp 0769763538...
Wakuu salaam,
Natarajia kuanza biashara ya kuuza Rim, hasa zile za A4, huku mikoani zinasumbua kidogo. Naomba anayefahamu wapi karatasi hizi zinauzwa kwa bei nafuu aniambie hasa DAR.
Asanteni.
Habari ya asubuhi wakuu,
Nina mgeni wangu week mbili zijazo anakuja kutembea naweza pata wapi Gari ya kukodisha kwa safari za mikoani. Gari itapita mikoa hii, Dar, Morogoro, Dodoma, Singida...
habari wakuu?
Ninajihusisha na uagizaji wa Spea za magari ya Ulaya... Kwa muhitaji yeyote anaweza kuni PM au akacomment hapa nitakusanya request kisha nitareply kwa Bei zetu.
Bei ni nafuu na...
Niaje wadau viwana wenzangu naomba tupeane support kwenye utafutaji wa ridhiki zetu za kila siku mimi ni kinyozi nina uzoefu wa miaka mitano(5) kwenye kazi yangu naishi kigamboni, Dar es salaam...
Wakuu habari
Kampuni ya microcredit inauzwa baada ya kushindwa kujiendesha. IPO vizuri IPO DSM na ilishafanyiwa annual return.
Karibuni. Documents zote zipo.
Ushirikiano upo wa kukamilisha umiliki.
Wakuu habari,
Nahitaji tent la kukodisha kwa kesho siku moja tu. Tent dogo la kawaida futi saba mahali ya tukio ni makumbusho sayansi tuwasiliane kwa namba 0757 563328 tafadhali.
Kwa yoyote...
Habari.
Natafuta deep flayer inayotumia umeme kwaajili ya kuchoea chips, iwe na plate mbili.
Njoo na offer yako.
Mawasiliano: 0743-451-357 call/sms/WhatsApp/PM
Nauza kiwanja kipo Miganga West Dodoma Mjini kiwanja kina huduma zote za msingi kama barabara maji na umeme kimepimwa na kina documents ukubwa wa kiwanja ni sqm 450 bei ya kuuza milioni 6...
Salaam Wakuu,
Natafuta fundi wa form work, ninakaproject kangu kadogo, inaweza ikawa ni kazi ya siku tatu hadi nne, Ninalipa sh.40,000 kwa Siku, kazi ipo maeneo ya Kinyerezi mwisho.
Kama upo...
Kuku "vijogoo wa nyama" wanauzwa kwa ajili ya kufugwa. Wana wiki 6. Wanapatikana Kibamba, Dar es Salaam. Wapo 300. Bei ni 6000 kwa kila mmoja. Piga 0715066185 au 0753066185 kwa maelezo na maelekezo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.