Kama unauza pikipiki nicheki tufanye biashara

Kama unauza pikipiki nicheki tufanye biashara

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
3,048
Reaction score
3,417
Wakuu..

Natafuta pikipiki iliyo ktk hali nzuri kabisa.

-Iwe haijatumika zaidi ya mwaka na iwe namba C

-Iwe TVS, BOXER ama nyingine yenye muundo huo...

-Bei isizidi 1M

- Location iwe Dar

-Uwe na documents zote original na uwe tayari kuandikishana kisheria.

- iliyotumika kwa matumizi binafsi itapewa first priority

Ni PM km unayo ama unajua anaeuza.

===================================

Updates,

Nimefanikiwa kupata boxer BM 150 namba CDQ

Asante wote mlioshiriki kunishauri
 
Mimi naomba nidandie kwenye uzi wako mkuu...mwenye pikipiki ya Shinerey anistue pia
 
Ingekua 1.5m ungepata boxer ..bado iko katika hali nzuri sana ..
 
Kwa hela hyo huwez kupata pkpk iliyotumika vzuri chini ya mwaka namba c .labda umpate mwenye shida
 
Back
Top Bottom