Natafuta Serious Software Developers

bizplan

JF-Expert Member
Jun 28, 2013
575
547
Hello ndugu, natafuta software developer ambao wanaweza ku-develop software from the scratch.

Nina mawazo ya kutengeneza software kadhaa hivyo yeyote mwenye uwezo huu, tuwasiliane.

NB. Nahitaji mtu serious tu na mwenye uwezo.
 
Mimi natafuta humu blockchain developers Wala hakuna majibu🤔
 
Ni contact chief... Tuyajenge
0748333586
Ingependeza kama ungeweka specifications za developers unaowahitaji

Wawe equipped na languages au Tech zipi
 
Habari mkuu na sama
Nipo una project gani ?!!!
Habari mkuu na samahani kwa kutojibu kwa wakati. Nina project inayohitaji yafuatayo:
1. Cloning a smart contract from an open source.

2. Integrating the cloned contract with Metamask.

3. Creating a UI to interact with the contract

Nahitaji collaborator tufikie lengo bae afaidi matunda kadiri ya nakubaliano tutakayoweka.
 
Kwahiyo inaitaji partner sio ?!
 
Ninatafuta developers wenye uwezo wa HTML, CSS, Javascript, Node. JS au PHP na SQL. Pia mwenye uwezo wa kudizaini webpages vizuri. Ninataka kutengeneza kampuni yenye website ya kusupply past papers kwa wanafunzi.
 
Nicheki Chief
0748333586,full stack dev
 
Mkubwa jaribu kuwacheck smartcodes au hata magillatech kama una project ya maana na sio kuokota watu wasiojua tofauti kati ya kuku & bata
Brands zipo kwenye simu sio codes..
Wanachoweza fanya hao smartcodes for 3 millions Tshs anaweza fanya indie developer humu ambae hata humjui even better for 500k

Trust me nimeshuhudia app ya million 4 low quality, just because washikaji wana company na wana ofisi zao oyster bay
 
Hello ndugu, natafuta software developer ambao wanaweza ku-develop software from the scratch.

Nina mawazo ya kutengeneza software kadhaa hivyo yeyote mwenye uwezo huu, tuwasiliane.

NB. Nahitaji mtu serious tu na mwenye uwezo.
mbona tupo mkuu +255768571150 au +255685750593
 
Back
Top Bottom