Milango ya kioo ipi ni mizuri na nafuu

Nyamwage

JF-Expert Member
Oct 16, 2020
634
1,535
Habari. Ninampango wa kuanzisha biashara inayo hitaji kuonekana kinachouzwa ndani na office kidogo iwe na muonekano mzuri kati ya milango hii upi ni mzuri na bei yake ni nafuu.

FB_IMG_1629223484610.jpg
FB_IMG_1629223922080.jpg
 
Wa kioo tupu ni mzuri sana, ila bei yake imechangamka, lakini huo wa chini wa Aluminium Bei yake watu wengi wanamudu Bei zake ndio maana unaiona mingi kwenye maduka na ofisi nyingi. Karibu sana Mbezi Aluminium and Glass upate madirisha ya aluminium aina zote, milango ya Aluminium aina zote, office partition, Balusters na Makabati ya Aluminium aina zote. Tunapatikana Mbezi mwisho ya Kimara. Kwa mawasiliano ni 0743664260 au 0684617585. Karibu sana Boss.
 
Kioo tupu bei gani?
 
Back
Top Bottom