Tunauza king'amuzi cha DSTV

Tunauza king'amuzi cha DSTV

sekion27

Member
Joined
Jul 25, 2021
Posts
56
Reaction score
37
Pata king'amuzi cha DSTV mpaka nyumbani kwako kikiwa kimekamilika kila kitu pamoja na offer ya mwezi mmoja, na gharama ya kusafirisha mpaka kwako na kukufingia ni juu yetu kwa bei ya Tsh. 79,000 tu

Piga number hii kwa maelezo zaidi 0745602798
 
Hivi wale Wachina wanaoset ving'amuzi ulipie mara moja tu kwa mwaka wameenda wapi? kama kuna mtu ana connection nao naomba ani PM.
 
Back
Top Bottom