Dawa ya meno inauzwa

Pritty wa joseph

JF-Expert Member
Jul 17, 2014
2,379
2,045
Dawa ya meno na kinywa kwa wale wenye matatizo ya kinywa, kunuka mdogo, fungus kinywani, wasafirio uvinza (hii itawafanya waepukane na cancer, unatumia baada ya kusafiri)

Tsh 15000 tu

Mawasiliano: 0714547830

dbd21f93ff647bc46aec3d735998fd7a.jpg
 
Sitaki hata kusikia.niliuziwa dawa ya mswaki 12,000kwenye dispensary. Nilimaindi kinoma nikaapa sintokwenda tenaaa pale.mpaka Leo sijaenda.

Dawa ya meno au ya Mswaki mkuu?maana sijaelewa maana yako
 
Ukiona uvivu kupiga mswaki asubuhi na kabla ya kulala kwa Colgate ya buku na jero tu. Iko siku utajikuta madaktari watakuuzia Colgate hiyo hiyo kwa buku 20 na mswaki buku 10, nakuandikiwa tumia hii dawa 1×2 kwa siku hadi utakapopata akili
 
Ingredients
Water,strontium chloride,sorbito, hydrated silica (friction type),hydrated silica( thickening type), aroma, glycerin, menthol, cellulose sodium sulfate,saccharin sodium, Cl 42090, Cl 42053
Mpaka sasa free fluoride ndo yenye kutoa ulinzi Kwa meno, F- siioni kwenye ingredients ulizo weka .Alafu pia hakuna dawa ya meno inayo ondoa harufu mbaya mdomoni.
 
Mkuu inamaana ni F- peke yake?
Embu acha ujuaji
Mkuu si ujuaji, fluoride ndo ingredient pekee kwenye dawa ya meno inayo saidia kurudisha madini ya calcium na phosphate kwenye jino linalo anza kutoboka au lililo kwisha toboka lisiendelee kutoboka, hili huwezekana tu kama kiwango cha uharibikaji ni kidogo kulikoi utengenezwaji. Ingredients nyingine kwenye dawa zina kazi nyingine tofauti na ulinzi wa meno
 
Back
Top Bottom