Jipatie ramani kali

je parle

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
1,973
3,760
Wana jamiii nimekuja leo sina cha ziada zaidi ya kuuza ujuzi wangu nilioupata darasani kwa miaka takriban mitano.

Basi ipo hivi, kama unataka ramani ya aina yeyote ile tutakufanyia kwa weledi wa hali ya juu sana.

Vitu vinavyofanya hivi hapa:
 • Commercial centre
 • Contemporary house
 • Mashule
 • Malls
 • Modern butchers
 • Ghorofa

Pia tunafanya graphic design na kutengeneza logo. Bei zetu ni za kawaida sana
 

Attachments

 • IMG_20191026_162126_655.jpeg
  IMG_20191026_162126_655.jpeg
  35.5 KB · Views: 6
Ramani ya nyumba kama hiyo uliyoweka picha ni shilingi ngapi? Pamoja na kuidhinisha kibali cha ujenzi. Kiwanja 20 × 20.

Nikupe mteja leo hii hii kama affordable.
 
Kwanini pembeni? Mbona tangazo lako umeweka hadharani mkuu? Basi ungewafuata watu pm kama ni siri.
Kuna vitu ilitakiwa niongee nae tueleweshane ndio maana nimeweka hadi na namba ya simu in case of anything mzee.
 
Wana jamiii nimekuja leo sina cha ziada zaidi ya kuuza ujuzi wangu nilioupata darasani kwa miaka takriban mitano.

Basi ipo hivi, kama unataka ramani ya aina yeyote ile tutakufanyia kwa weledi wa hali ya juu sana.

Vitu vinavyofanya hivi hapa:
 • Commercial centre
 • Contemporary house
 • Mashule
 • Malls
 • Modern butchers
 • Ghorofa

Pia tunafanya graphic design na kutengeneza logo. Bei zetu ni za kawaida sanaSent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom