Chimbo Linalouza Nguo za Kiume za Mtumba

Chimbo Linalouza Nguo za Kiume za Mtumba

Ilala ndio kila kitu second manzese!

Muhimu fahamu chochoro na muda wa kuvunja mtumba.
 
swali zuri hayo masoko uliyotaja yanauza ghali sana, kuna madalali kuliko wanunuzi, ukikuta jeans ya elf 3 mwenhge karume unauziwa elf 40.

wasichana wakienda kuna zile sehemu wanaambiwa
Wakuu naomba kujua chimbo linalouza nguo za mtumba za kiume yaani Jeans Classic na Tshirts hapa Dar. Hapa achilia mbali Karume, Ilala na Kariakoo!!
a
 
Ilala pale soko la machinga nssf ground floor siku za Jumamosi na Jumanne huwaga wanakata beli ila saa 12 asb.. Utapata vitu clasic kwa bei ya mnada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom