frabel
Member
- Mar 13, 2021
- 96
- 60
Uvimo ndio fahari ya watanzania kwa sasa.
Huduma zoote za ujenzi, ushauri na mafunzo juu ya kila kitu kwenye ujezi SASA UNAPATA UVIMO.
Je, nje ya gharama ya vifaa vya kupandisha boma, kuna gharama nyingine isiyo onekana na usiyo weza kuitambua?
Kila anaye nuia kujenga daima hufikilia kuhusu gharama za ujenzi.
Wengi hawajiulizi kuhusu gharama zilizo jificha zitokanazo na ufundi na bila msimamizi mtaalam basi hujikuta katika gharama na usumbufu juu.
Nov -10 2021 Uvimo maktaba itakuwa hewani kwa mada hiyo katka group Uvimo Public Center tu, ili kukutambulisha sababu hizi ili ujenge kwa kupunguza gharama kiasi fulani.
Kumbuka, [emoji1427]
Katika ujenzi, kila shilingi ina maana sana na hupashwi kuidharau, hakikisha una ipa thamani yake inayo stahili.
Huduma zoote za ujenzi, ushauri na mafunzo juu ya kila kitu kwenye ujezi SASA UNAPATA UVIMO.
Uvimo MaktabaJe, nje ya gharama ya vifaa vya kupandisha boma, kuna gharama nyingine isiyo onekana na usiyo weza kuitambua?