Nyumba inauzwa Mbeya mjini, karibu na stand kuu ya Nanenane, nyuma ya hotel ya PM luxury hotel, kwenye eneo kuna nyumbaa kubwa moja, nyumba ya vyumba vitatu na nyumba ya vyumba viwili na parking kubwa, inauzwa kwa million 100, kiwanja no 812 mteja serious piga 0744757738View attachment 2059741View attachment 2059742View attachment 2059743