Set mpya ya kisasa ya vifaa vya kupambia cake
Set ina vitu vyote vya kupambia cake.
Inakuja na vitu vingi kama sufuria 4 za cake
Meza ya kupambia
Nozzle 48
Kisu cha kukatia
Mifuko ya...
Habari wandugu,
Nauza sofa set yenye jumla ya siti saba (7). Muundo wa sofa ni (Love seat) ambayo ni siti ya watu wawili. L-shape ambayo inaunganisha vipande vitatu. Kipande kidogo cha siti ya...
Habari zenu,
Drone Online Ads tukiwa na uzoefu wa zaidi ya miaka 20 katika ujasiriamali Tanzania, na hasa jiji la Dar ,sasa tumeanza huduma ya kusaidia wajasiriamali kukua katika maeneo...
kama kichwa cha uzi kinavyosema, Gari ipo bandarini mwenye nayo kashindwa lipia. wajapan wanataka 5000USD wakupe Harrier yako
details zake kwa haraka ni ina mileage ya 241,499 km engine capacity...
Nauza EXTERNAL HDD 750GB used but but in Mint Condition.
Haina tatizo,inaweza kutumika pia kama internal
70,000/=
location:Dar-es-salaam
wa.me.255716889489
Habari wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji hii machine, iwe halali sio ya wizi, iwe ya kutumia umeme au mafuta. Bajeti yangu ni 700K. kwa mwenye nayo karibu tufanye biashara...
Habari.
Nauza simu ya Samsung A30 toleo la mwaka huu, simu ina miezi mitano tu toka inunuliwe, ipo katika hali nzuri ila tu Screen Protector ndio imecrake..
SPECS.
●4GB RAM
●64HDD
●Laini Mbili
●MP...
Habari zenu waungwana,
Nahitaji cover na protector ya sony Xperia 5 (2019)
Nipo Zanzibar, nimejitahidi Kwa huku nimekosa.
Kwa yeyote ambaye anauza tafadhari tiwasiliane Kwa 0716 403 314.
Asante.
Shamba la miti ya mbao Aina ya pines yenye muda wa miaka 7 na ukubwa wa ekari 200 linauzwa,bei Kwa kila ekari ni 1.8milion. Shamba lipo mpakani mwa njombe na songea,kijiji cha wino. Barabara...
Habari wana jamvi,
Ninauza mbwa aina ya GSD PURE kwa bei rafiki kabisa ya kufungia mwaka.
Tsh 900,000 tu. Ana mwaka mmoja na chanjo zote muhimu kachomwa.
Karibuni sana.
Dar es Salaam- Kigamboni.
Nauza baiskeli ya watoto.
Haina tatizo lolote.
Baiskeli ni mpya.
Haijatumika sana.
Ipo tu ndani muda wote.
Inafaa kuendeshwa na watoto umri wa miaka 4 mpaka 8.
Ukihitaji tairi za pembeni...
Shamba linauzwa, Kibaha Mlandizi Miswe ukubwa eka 55.
Chanzo cha maji huakika, kilimo kipindi chote kwa mwaka,maji ya mto ruvu na mto msumbiji.
Linafaa kwa kilimo cha mazao mengi, ulimaji wa...
Ndugu zangu nauza TV mbili.
1. Boss 32".
Hii imetumika kama miezi miwili. Iko vizuri kwa kila kitu lakini tatizo lake iliungua taa, mara ya kwanza nilitengeneza ikakaa sawa lakini ikaungua mara...
Inaweza kukomboa mtama, mpunga, mahindi n.k (kwa saa 200kg)
Inaweza kusaga mahindi, mchele, manjano, mtama , kahawa n.k( kwa saa kg 300)
Inatumia motor ya 3000 watts
Mashine ni mpya
Unatumia...
Ps2 slim ikiwa na vifaa vifuatavyo
✓Waya wa moto mpya
✓Waya wa AV mpya
✓Memorycard mpya
✓Flash yenye game 10
Dar es salaam
Tsh 110k bei fixed
0692402211
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.