Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau karibuni Kisemvule Mkuranga mujipatie viwanja ukubwa 50 /40 umbali kutok barabara ya kusini ni 3km,2km bei!! ni 1.5.ml 1.8ml karibun ukileta mteja unapata asilimia 10 unalipa kwa awamu zaidi...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Mbao zenye dawa treated zisizoliwa na wadudu zinapatikana kwetu kwa bei za jumla na reja reja. Tunatoa ofa za Misumari ya Bure 10kg na Ofa ya Usafiri wa kukupelekea mzigo sait Bure! Tunapatikana...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Vodacom Tanzania hamna jinsi mnaweza kupunguza haya maneno mengi mkaweka hata VODA TZ AU VODACOM TZ. HILI JINA LENU REFU MPAKA MUONEKANO WA CM UNAKUWA BOARED. JARIBUNI KUWA KAMA MITANDAO MINGINE...
1 Reactions
3 Replies
916 Views
Habarini wadau, Natafuta nyumba maeneo ya Goba, au Mbezi Shule hadi Mbezi Makonde. Nyumba iwe ndani ya geti na chumba, sebule,jiko na choo. Bajeti yangu ni kuanzia 150k - 250k . Kwa mwenye...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello! PICHA ZA UKUTANI Kulingana na mabadiliko ya teknolojia tumekuletea mfumo mpya wa picha za ukutani zisizokua na kioo ni mbao tupu. Ni imara na haziloani na maji kulinda ubora wa picha...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
WADAU, NAUZA KIRETI TUPU ZA BIA KWA ELFU 9000 KWA KIRETI MOJA(CHUPA NA KASHA LAKE), ZIMEBAKI KRETI 13. ZINAPATIKANA BUNJU B, PIGA 0759 819 819
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kampuni ya simu za mkononi ya TECNO imezindua rasmi simu yake mpya toleo la CAMON 16s leo jijiini Dar es Salaam pamoja na kuwatambulisha mabalozi wa simu hiyo. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo...
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Ndugu zangu, Kutokana na kuhamishiwa kikazi mkoani katavi, sina jinsi zaidi ya kuiuza biashara yangu ya bucha ya nyama ya ngombe, iliopo eneo la bunju b mabwepande(off mabwepande road). Bucha...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Tembelea kisemvule km 8 kutoka mbagala rangi3 utajipatia viwanja mashamba kwa gharama nafuu ili ufanye ujasiliamal wako wenye tija
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza SAMSUNG A71 RAM 6GB STORAGE 128GB FRONT CAMERA 32 MP BACK CAMERA 64 MP BATTERY 4500 MAh Fingerprint Ya kwenye screen[emoji736] Clean as New [emoji95] Haina Crack yeyote Nimeishiwa Nauza 650k...
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Habari za wakati huu ndugu zanguni, Kama Kuna mtu mwenye mashine ya NMB WAKALA, hafanyii kazi au anaiuza kwa sababu yoyote tuwasiliane, nimeitafuta kwa udi na uvumba lakini zimekuwa ngumu kweli...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Storage 64GB Ram 4GB Clean condition Price: 320,000/= Contact: 0742689131 Location: Mwanza
0 Reactions
0 Replies
608 Views
Mac Book core 2 duo HDD 320GB PROCESSOR 2GHZ BATTERY 3HRS FOR 270,000/= FOR MORE LAPTOPS CALL/TEXT/WHATSAPP 0716889489 Telegram:HOME OF LAPTOPS& CC CAMERA Instagram:Login • Instagram
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Kwa wanao hitaji usafiri wa kwenda Dodoma na coaster kesho asubuhi booking na sisi 0682373327, wahi mapema siti zipo chache.
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau wazoefu kwenye kilimo cha bustani naomba kupata ushauri kuhusu kilimo hicho,bei na masoko ya mazao haya. 1.kindola (matango madogo). 2.Kalela 3.Maharage ya kichina 4.Kisola 5.Pilipili...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habar wana jamii forum, Je, naweza kupata madukani au kama kuna fundi wa tv kioo cha tv yangu aina ya Samsung inch 32 kwa bei gani?
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu poleni na majukumu Nnahitaji fundi anayeweza kuapdate software katika mashine ya alignment Aina ya mashine ni Hunter K 111 IPO kigamboni Mawasiliano 0762036898
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ina hard disk ya 500GB. Ina games 6. Natoa na power cable. Price: 600,000 Location: Tanga SOLD
0 Reactions
5 Replies
815 Views
Anahitajika fundi wa plasta haraka anaejua vizuri kupiga plasta. Site iko Mbezi DAR.kama kuna kazi ulifanya ambayo ni nzuri itume ili kumvutia mteja. Sent using Jamii...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hard Disk: 500GB Model: CUH 1003A Build: PS 4 Fat Games: Call of Duty, Pes 20, Need for Speed, GTA, Batman Injustice 2 na Mortal Kombat. Controller Pad: No Asking Price: 580,000 Location...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom