Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakubwa shikamooni, vijana wenzangu mambo zenu. Nianze tu kwa kusema afya ni uhai , na miili yetu kuugua ni mojawapo ya changamoto kwenye maisha. Mimi nafanya kazi na nimeajiriwa , mi ni...
8 Reactions
14 Replies
1K Views
Nahitaji black pepper yakutosha kiasi Cha container moja,, Kama unajihusisha na hiyo biashara au una uwezo wa kuipata naomba tuwasiliane 0744971153
1 Reactions
3 Replies
768 Views
Nauza used Dell computer Ram 2GB Hard disk 320GB CPU duo 1.6ghz Screen 15' Bei 300,000/= maelewamo yapo KARIBU MAHALI Dar es salaam
1 Reactions
4 Replies
957 Views
Habari Wengi hawajui kuandaa Proffesaional Business Plan, Business Plan ni Frame Work tu ambayo iko katika uniform format ambayo wewe unaingiza maneno yako kulingana na sifa mbalimbali za...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ram 3gb Rom 500gb bei 300,000 iko kwenye box lake, yani mpya 0713096076 kwa muhitaji piga simu
0 Reactions
0 Replies
681 Views
Hasa sufuria kama hizi kwa bei nzuri ambayo ni affordable, asanteni
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari za mda huu wadau. Naomba kuuliza wapi naweza pata perfume, mafuta ya nywele na ngozi mazuri kwa bei ya jumla hapa kariakoo. Na namna uuzaji wao ulivo kama wanauza kwa pc au kupima...
1 Reactions
13 Replies
7K Views
Ni wauzaji wa mitumba kwa jumla (Mabalo), tunapatikana Mapambano karibu na Zahanati ya kijitonyama, tuna tunatuma Mikoa yote, kwa mawasiliano zaidi piga/Whatsapp number 0715559494. Karibuni sana...
4 Reactions
65 Replies
43K Views
Computer [emoji985] yenye sifa hizi inatafutwa: Rama 4 core i3 and above Processor 2.5 and above Ssd 250gb and above. Brand yeyote. Kwa yeyote aliye nayo anicheki inbox Bujeti yangu ni tsh. 500,000.
2 Reactions
8 Replies
574 Views
Habari wana JF, Nauza sandals za ngozi OG za kike na kiume Dar..Jumla 18,000 rejareja 20,000. Ni imara na hazipauki kirahisi wala kukakamaa. Kwa mawasiliano nipigie 0657940974
3 Reactions
0 Replies
830 Views
Bei 750,000 Honda Cc 50 Inatumia mafuta Maelewano yapo 0674664354
2 Reactions
33 Replies
4K Views
INAUZWA 1.7mil... 0713096076 ipo IGOMA CC 150 GIA 5. HAIJAGUSWA POPOTE ENGINE NZIMA. KARIBU
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habarini wakuu naomba msaada kuhusu bei halisi ya Printer L805 kwa Mwanza, maana kunajamaa namuulizia kuhusu bei et ananiambia kwa Mwanza zimepanda bei ni 850000 je' ni sahihi kwa bei hiyo maana...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nahitaji mafuta ya nazi in bulky kuanzia lita 1000 na kuendelea,aliyenayo atoe offer yake
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Anahitajika binti mwadilifu wa kulea watoto wawili pale mama yao anapokwenda kazini. Sehemu ya kazi: Kimara Stop Over, Dar es Salaam Idadi ya watoto: Wawili Mawasiliano ya mama wa watoto...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Bei ya kulenga kabisa hii chombo haina tatizo lolote. ipo mawasiliano, Dar. njoo ukague gari 0713096076 CHANGAMOTO ZAKE Imepauka Rangi Bampa linahitaji marekebisho kidogo, like 40,000 Tshs...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wana JF, Nina kiwanja changu nakiuza 4mil kipo Kigamboni kimbiji golani eneo la kidagaa kina hati toka ardhi 600sq ni km 35 kutoka Kigamboni Ferry .. Kwa mawasiliano zaidi piga 0657940974
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Amani kwenu. Uvimo Maktaba MFUMO WA UMEME WA NJIA MBILI NA UMEME WA SOLA NA TANESCO KUUNGANISHWA Habari wadau, maktaba yetu inaaamini sote hatujambo. Uvimo tunao uwezo was kuweka mifumo ya...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari wadau, Mimi sina sifa ya kukopesheka Bank, Hivyo nina shida ya mkopo wa M3 kwa mtu binafsi dhamana niliokua nayo ni kiwanja kipo songea changalawe kipo barabarani kabisa kiwanja kina...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Iko airport, Dar ni kipya inakua hivyo na kistuli chake. Price: 300K Contacts: 0689015394
7 Reactions
55 Replies
3K Views
Back
Top Bottom