GOYA MNANDA
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 239
- 160
Tembelea kisemvule km 8 kutoka mbagala rangi3 utajipatia viwanja mashamba kwa gharama nafuu ili ufanye ujasiliamal wako wenye tija
Hivyo viwanja vimepimwa?Tembelea kisemvule km 8 kutoka mbagala rangi3 utajipatia viwanja mashamba kwa gharama nafuu ili ufanye ujasiliamal wako wenye tija
hapana ni maeneo ambayo wamepimwa kienjeji kwa kifuata taratib za watu wa mipango miji kwa maana kuweka njia kila kiwanja kifikike na kupima kwa ukubwa ambao ni rafik kwa ujenz sio kwa maana kuwa na raman nkHivyo viwanja vimepimwa?