K.koo ni soko la Taifa,..kasi ya pesa na ukubwa wa uhitaji.
Fremu za mbele along bara barani ndio zenye potential kubwa ya mauzo, lakini sio cheap, ni 1million, 1.5 million, 2 million etc..bado...
Habari za muda huu wana jukwaa?
Niko na simu janja aina ya Redmi note 9 iliyo tumika miezi mitano ambayo ipo katika excellent conditions!
Bei yake ni fixed kwa laki tatu na nusu tu (350,000/=)...
Nauza king'amuzi cha Azam TV na tv ya LG 32 inches iliyopasuka screen kama kuna mwenye screen au aitumie kama spare maana imetumika miez 5 tu.
King'amuzi bila dish 80,000
Screen 100,000
Karibuni KELVIN BOOK STORE TZ @vitabudhahabu mjipatie vitabu kwa Bei kati ya 25,000 na 30,000.
Punguzo ni kati ya 10% (Pc 3+) na 20% (Pc 10+)
Also: 15,000 ( Pc 20+ ) for wholesale.
NB: Vitabu...
K.koo ni soko la Taifa,..kasi ya pesa na ukubwa wa uhitaji.
Fremu za mbele along bara barani ndio zenye potential kubwa ya mauzo, lakini sio cheap, ni 1million, 1.5 million, 2 million etc..bado...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyo eleza.
Naweza pata Gari hiyo kwa kuagiza kutoka Japan.
Ikaja ikiwa vizuri kwa pesa hiyo.
Msaada tafadhali
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
TANGAZO LA TUWAPISHE WAZEE WAHUDIMIWE KWANZA LIFANYIWE MABORESHO ILI LISILETE MIGOGOGORO
Anaandika Robert Heriel.
Jana nilikuwa moja ya Hospitali za hapa Jijini DSM, nikakuta tangazo limeandikwa...
Moja ya changamoto inayowasumbua wakulima wadogo, kati na wakubwa ni upatikanaji wa mbolea bora. Lakini bado hata zile zinazotumika kwa wingi ni zile ambazo mazao yanayopatikana kutokana nazo...
Mfumo wa biashara ya mitandao ni mfumo ambao unapendekezwa kufanywa katika karne hii ya 21, kwa sababu ni mfumo ambao umeisha tengenezwa na kampuni wewe kazi yako kubwa ni kununua kwenye mfumo...
Nimesoma vitabu vingi vya ujasiriamali mfano mmojawapo ni kitabu cha The cash flow quadrants, poor dad and Rich dad
Niligundua kuwa bila kufanya uwekezaji huwezi ukawa na Uhuru wa pesa hata siku...
Habari Wanajamvi,
Nauza simu yangu mwenyewe ni Samsung Galaxy Note 10+. Ina mwezi mmoja tangu niinunue, ina risiti niliyonunulia na boksi lake
Bei ni laki 8.5, inapungua kidogo sana
Kwa aliye...
KWANINI BIASHARA YA MTANDAO? KWANINI UFANYE NA FOREVER LIVING PRODUCTS?
BIASHARA YA MTANDAO NA UMUHIMU WAKE.
Biashara ya mtandao ni mfumo wa kipekee kabisa wa biashara kuwahi kutokea. Kwani...