Habari wakuu poleni na majukumu
Tenga......Tsh 35,000/=
Ndoo kubwa.....Tsh 20,000/=
Ndoo ndogo...... 12,500/=
Kisado..... 5,000/=
Kuanzia tenga 10 nafanya delivery
Chini ya hapo mteja...
Ni kile cha silver vya zamani ambavyo ni imara sana kulinganisha na hivi vya plastic vidogo.
Unaweza kutazama channels 7 za bure usipolipia.
Bei ya ofa Tsh 25'000 ila ukitaka na antena yake...
Nyumba inauzwa Mbeya Mjini, nyuma ya pm hotel, karibu kabisa na stand ya nanenane, mita mia toka rami inayotoka nanenane kwenda ilomba, piga simu 0744757738
Mashamba,viwanja/plots vinauzwa
a) Mbande Chamazi Mbagala - DSM 40ft X 50ft = 6,000,000/=
b) Mbondole Ilala - DSM 40ft X 50ft = 3,000,000/=
c) Tambani Mkuranga 50ft x 50 ft - Pwani = 3,000,000/=...
Toyota Landcruaser VX inauzwa iko katika Hali nzuri sana .Iko Arusha Mjini ,
Bei yake ni milioni 18 maongezi yapo
,kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kwa inbox ,Au comments hapa nitakujibu as soon...
Wakuu habar za muda huu, naendelea kutoa huduma kwa wale wanaotaka kupelekwa kariakoo kufahamu machimbo mbalimbali, ninauzoefu wa mda sasa wa kupeleka watu kuwaonesha machimbo.
Yafuatayo baadhi ya...
Nyumba inauzwa Mbeya mjini, karibu na stand kuu ya Nanenane, nyuma ya hotel ya PM luxury hotel, kwenye eneo kuna nyumbaa kubwa moja, nyumba ya vyumba vitatu na nyumba ya vyumba viwili na parking...
Zipo website tatu;
Kila moja inauzwa shilingi 155,000 ziko hosted kwenye wordpress cms.Unapata na emails za tano.
Website ni za utalii na zina umri wa zaidi ya miaka 3.
Ukinunua website hizi...
Tunauza mzani Wa kisasa wa Kupima chakula cha mifugo Pamoja na bidhaa zingine.
✓unapima kilo 0 Hadi 50
✓unatumia betri ndogo.
✓hudumu na chaji.
✓ni imara sana .
Bei 20,000/=Tsh.
Simu...
Luguruni
Metres 500 kutoka Main Morogoro Road
Eneo ni 25 kwa 30.
Kuna Fremu tano na godown kubwa la mashine ,maji na umeme Upo .
Bei inaanzia 150M .....maongezi yapo kidogo.
Kwa maelezo zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.