Phone4Sale Nauza simu janja aina ya Redmi note 9

SOWETO_MAN

Member
May 4, 2021
69
32
Habari za muda huu wana jukwaa?

Niko na simu janja aina ya Redmi note 9 iliyo tumika miezi mitano ambayo ipo katika excellent conditions!

Bei yake ni fixed kwa laki tatu na nusu tu (350,000/=).

Napatikana Dodoma kwa mawasiliano zaidi piga 0763797102!

IMG-20211207-WA0035.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom