Natafuta Partner Wa Kushare Frem Kariakoo

Forrest Gump

JF-Expert Member
Jul 2, 2021
583
1,266
K.koo ni soko la Taifa,..kasi ya pesa na ukubwa wa uhitaji.

Fremu za mbele along bara barani ndio zenye potential kubwa ya mauzo, lakini sio cheap, ni 1million, 1.5 million, 2 million etc..bado zina competiton kupata na sio rahisi kupata ilio empty..so inakuhitaji kumvua mtu kilemba alieko katika fremu ina dependa 15ml, 2Oml ,30ml...etc, lakini ukishapata fremu ni kuenjoy mauzo tu.

Tunaweza share fremu moja na kuifanyia partition ila mlango unabaki kwa kuwa ni mali ya mzee baba au tunaweza kushare duka moja lenye bidhaa tofauti ila zinazo zinaoendana ili kutopoteza identity kwa wateja...e.g nguo na viatu, mikoba na viatu, .etc

Finally, taarifa zetu wote tutaweka kisheria ili kulinda trustworthy, ulipaji kodi na usalama..na bado mengi ya kuzungumza

Karibu PM.....................
 
Mfano tumeshare kodi labda 15m kila mmoja halafu tukaweka biashara mbili mimi nguo wewe mikoba, sasa inatokea mimi nguo nauza sana wewe mikoba yako haitoki kivile, je next kodi tutashare nusunusu au utaleta uswahili?
Kama nitakuewa nimekuelewa, kodi ya 15ml kwa mwaka ni sawa na 1,250,000 kwa mwezi, ambayo kwa siku ni 41666.6 tsh hio tukisplit ni sawa na 20,833.3 kwa siku.

Cha kwanza inatakiwa kila siku tunatoa pesa ya kodi ..namaanisha hio 20,000..hatutakuwa tunasubiri kwa mwezi au mwaka..

Cha pili, kama nilivyosema taarifa tunaweka kisheria nafikiri katik kuweka vigezo kisheria tutaweka kigezo kuwa kama mmoja akizingu a kutoa pesa ya kodi kikamilifu ndani ya mwezi mmoja itabidi apishe na kuacha fremu ili kutoleta shida mbeleni.

Cha msingi tunaweka taarifa kisheria chini ya mwanasheria.

Sijajua mawazo yako zaidi boss?
 
NAIPENDA JF, SIKU NYINGINE UNAKUTAN NA MAWAZO YA WATU WALIO WAHI KUFIKA NCHI YA KUSADIKIKA
 
Kama nitakuewa nimekuelewa, kodi ya 15ml kwa mwaka ni sawa na 1,250,000 kwa mwezi, ambayo kwa siku ni 41666.6 tsh hio tukisplit ni sawa na 20,833.3 kwa siku.

Cha kwanza inatakiwa kila siku tunatoa pesa ya kodi ..namaanisha hio 20,000..hatutakuwa tunasubiri kwa mwezi au mwaka..

Cha pili, kama nilivyosema taarifa tunaweka kisheria nafikiri katik kuweka vigezo kisheria tutaweka kigezo kuwa kama mmoja akizingu a kutoa pesa ya kodi kikamilifu ndani ya mwezi mmoja itabidi apishe na kuacha fremu ili kutoleta shida mbeleni.

Cha msingi tunaweka taarifa kisheria chini ya mwanasheria.

Sijajua mawazo yako zaidi boss?
Kama ni hivyo basi nakushauri ukimpata huyo partner inabidi mwende mkasajili partnership yenu brela kisha mjaze partnership deed halafu mwisho mkaape mahakamani au kwa mwanasheria, nje ya hapo hamtafika kokote mtaishia kugombana.
Biashara sio kitu rahisi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom