Natafuta partner wa kushare costs za frem kariakoo

Natafuta partner wa kushare costs za frem kariakoo

Forrest Gump

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2021
Posts
793
Reaction score
2,304
K.koo ni soko la Taifa,..kasi ya pesa na ukubwa wa uhitaji.

Fremu za mbele along bara barani ndio zenye potential kubwa ya mauzo, lakini sio cheap, ni 1million, 1.5 million, 2 million etc..bado zina competiton kupata na sio rahisi kupata ilio empty..so inakuhitaji kumvua mtu kilemba alieko katika fremu ina dependa 15ml, 2Oml ,30ml...etc, lakini ukishapata fremu ni kuenjoy mauzo tu.

Tunaweza share fremu moja na kuifanyia partition ila mlango unabaki kwa kuwa ni mali ya mzee baba au tunaweza kushare duka moja lenye bidhaa tofauti ila zinazo zinaoendana ili kutopoteza identity kwa wateja...e.g nguo na viatu, mikoba na viatu, .etc

Finally, taarifa zetu wote tutaweka kisheria ili kulinda trustworthy na usalama..na bado mengi ya kuzungumza

Karibu PM....
 
Kila la kheri kaka, huwa nafarijika sana napoona kijana mwenzangu anapiga hatua kimafanikio au anakuwa na mawazo ya kufanikiwa.
Ndio hivyo kaka ahsante, ila unapotaka kupiga hatua unatumiwa comment kama hii..kuwa wakinga ndio wanaweza kumaintain k.koo...

"Fremu gani ya mbele kkoo M1? Mitaa inayouza mikoba ni Aggrey na Mchikichi hakuna frem chini ya 2m per month, kilemba hakiwez kupungua 30m.
Hizo Fremu wanaziweza wakinga tu"
 
Umasikini ni mbaya mno ndugu, familia za wengi wetu ni ile kuona huwezi kufanya kitu ukafanikiwa kama akina fulani kwa sababu tu unaanza.
 
Umasikini ni mbaya mno ndugu, familia za wengi wetu ni ile kuona huwezi kufanya kitu ukafanikiwa kama akina fulani kwa sababu tu unaanza.
Kabisa umasikini umetujengea traditition ya kukatishana tamaa, hila, ushirikina na chuki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom