Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Gari imenyoka haina tatizo lolote. Bei Milioni 4 Lilipo dar es salaam. Call 0742141467 au 0686648630
0 Reactions
6 Replies
950 Views
Natafuta king'amuzi used cha azam nipo dar~0769116443
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Habari wakuu, kwa wanaohitaji Mnara wa radio au simu. Nauza mnara napatikana Mbezi, Kimara Suca. Dar es Salaam. Mnara una kila kitu chake. Machine zote. 0783985530
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Naomba kujua bei ya king'amuzi cha Azam TV, kwa Dodoma na Singida.
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Mwenye decoder ya azam nimpe ya dstv plus hela kidogo tubadilishane tafadhali anahitajika. Sababu ya kubadilisha nina ving’amuzi viwili vya dstv kimoja situmii kabisa. 0769966734
0 Reactions
6 Replies
979 Views
HabarinI wana jukwaa, kama kichwa kinavyosema nahitaji mtu mwenye king’amuzi cha Azam tv tubadilishane na DStv. Shukhrani
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wakuu. Mwenye king'amuzi cha azam used tuwasiliane hasa kama upo Dar au Kibaha Simu 0713-039 875
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nipo mwanza, Sengerema Namba: 0759589005 Ni kipya kabisa Kama una king'amuzi cha Azam cha dishi tutabadilishana na nitakupatia 100,000
1 Reactions
3 Replies
1K Views
[emoji3591]Wadau habari za jioni Eneo linauzwa Dodoma mjini...maeneo ya kikuyu South extension. [emoji3591]Eneo lina square mitre 373 [emoji3591]Lipo karibu kabisa na station ya treni ya mwendo...
0 Reactions
9 Replies
894 Views
Hellw nauza dell laptop. Specifications: Intel core i-5 ,5th Generation ,2.2Ghz 500 HDD,8 GB RAM Windows 10 64 bit Supports USB/HDMI/Wifi/webcam/ethernet/aux jack 14" HD display...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari za wakati huu; Kama wewe ni mfuatiliaji wa makala zetu basi utafahamu kwamba tumekuwa tukijitahidi kwa kadiri ya uwezo wetu kushea baadhi ya maarifa na taarifa ambazo tunazo kwa ajili ya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wajasiriapesa wenzetu; Kwanza kabisa niwashukuru sana wale ambao hunitafuta na kutumia huduma zangu za ushauri na uelekezi ni niwaambie kwamba wanachangia katika kunipa elimu...
4 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za wakati huu.Kama kawaida yangu huwa napenda kuleta mada na mijadala mbalimbali inayohusu biashara na ujasiriamali.Mijadala hii inalenga zaidi kupeana mbinu,ujuzi na uzoefu ambao...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Tunauza spare za magari aina zote, toyota, nissan, mazda, subaru, coaster, hiace,fusso, canter, tata, eicher, nk. Tupo Tanga mjini na mikoani tunatuma. Jumla na rejareja. Pia tuna battery zenye...
0 Reactions
4 Replies
909 Views
Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ni kuwa tunanunua zaga za aina zote hizo hapo juu. Tupo Dar es salaam ila kama mzigo ni mkubwa hata mkoani tunafika na kufanya biashara...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Habari wapendwa, Nauza simu yangu aina ya Huawei Y7 Prime Internal GB 64, Ram GB 4, battery capacity 4,000 MAh. Bado mpya kabisa Bei yake ni 290k (laki 2 na 90) pamoja na Charger yake Kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavyosema. Location popote tz ila miji midogo inayokuwa. Nafikiria kupachika Car Wash. Eneo lisiwe mbali sana na centre (yani sio lazima upande gari/boda kutokana na umbali...
1 Reactions
10 Replies
961 Views
Habari wadau, Nauza printer ambayo ni photocopier pia, Model Canon IR 2425, Ina print, copy na Scan. Ina uwezo wa kuunganishwa kwa Network, Bei ni 2 million kamili. Ipo Dar es salaam...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
NI LAPTOP MPYA KABISA SIFA ZAKE: 1. INA WEB CAMERA 2.INA NOTISI ZA MASOMO YOTE KUANZIA SHULE ZA AWALI HADI KIDATO CHA NNE 3.INA KATUNI, GAMES PAMOJA NA MICHEZO MBALIMBALI YA WATOTO. 4. INATUMIA...
4 Reactions
49 Replies
6K Views
Back
Top Bottom