Nabadilisha Dstv decoder + 50k kwa mwenye Azam decoder ya dish

Nabadilisha Dstv decoder + 50k kwa mwenye Azam decoder ya dish

Abuhamos

Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
31
Reaction score
44
Mwenye decoder ya azam nimpe ya dstv plus hela kidogo tubadilishane tafadhali anahitajika.

Sababu ya kubadilisha nina ving’amuzi viwili vya dstv kimoja situmii kabisa.

0769966734
 
Guys kama kuna mtu anahitaji king'amuzi complete/full kit cha AZAM cha DISH ambacho ni kipya kabisa hakijamaliza hata mwezi na kimeshalipiwa chaneli zote kwa miezi mitatu. naomba anicheki DM tufanye biashara, kinapatikana kwa 165k (non-negotiable price)
 
pia kama kuna mtu ana king'amuzi cha DISH cha STARTIMES mimi nitampa cha DISH cha AZAM ila atatakiwa aniongeze 60k. kama yupo aje DM tufanye biashara
 
Back
Top Bottom