Tukijiandaa kuelekea katika Sikukuu ya Christmas na mwaka mpya wengi tungependa kubadili muonekano wa tunapoishi kwa kuzipamba nyumba zetu.
Haya leo nimekuletea hizi. Ni set nzuri sana...
Chaser moja la kizazi sanaaaa
Price:million 4.8
Cc:1900
Gear box maini ya mbuzi miksa chapati za kunyumbulika
Engine sotojo la mwanamke wa kitanga aliekwenye hatari ya kuachika
A.c...
Bei za ofa mzigo wa mwisho
Nauza Airpod
i12 bei 12000 zipo tatu tu
pro3 bei ni 20000 zimebaki tatu tu
na
f9 bei ni 40000 zimebaki 5 hizi ni base ya maana,chaji inakaa karibia wiki nzima kwenda...
0718239997&0742522232
HEKA 15 ZINAUZWA KILA HEKA MILLION 1.5
Location mbele ya Chanika mwisho wilaya ya Kisarawe
Minazi michungwa nanasi mihogo ipo?
Heka 15 zinauzwa kila heka million 1 na laki...
KWA NINI UTUMIE HYDROPONIC FODDER KATIKA UFUGAJI WENYE TIJA
1. Ni rahisi kuotesha
2. Zinaota kwa muda mfupi
3. Zitakupunguzia gharama za chakula cha kuku
4. Zina wingi wa protein na vitamin...
Habari!
Linatafutwa eneo katika mkoa wa Dar es salaam kwa ajili ya kuweka biashara ya Restaurant. Eneo liwe na population nzuri,watu wa kipato cha kati na juu na linalofikika kwa urahisi...
Haya madirisha ni 5 kwa 5 yapo vizuri kabisa yapo na nyavu zake yaani unachukua na kuweka tu, kila dirisha moja nataka Tsh 40,000/= tu, yapo madirisha manne 4 nipe mbezi msumi 0716-900915
Salamu ndugu Wanajamvi,nawasalimu na kuwaomba msiache hii ikakupita popote ulipo Nchini Tanzania kwasababu kuwekeza kwenye Ardhi ni baraka na hakuna siku itapungua Thamani yake ikiwa tu umefanya...
PATA HATI MILIKI YA KIWANJA,NYUMBA AU ENEO LAKO(SHAMBA)NDANI YA SIKU 14.
Kama unamiliki kiwanja au shamba au Nyumba na haijawa bado na Hati,au hapajapimwa sasa unaweza kupata majibu ya maswali...
Nauza nyumba ambayo haijamaliziwa imeishia kwenye linter ni nyumba ya vyumba vitatu na master bed room Moja jumla vyumba vinne,sebule,dinning, store na public toilet shimo la choo limechimbwa...
KIWANJA KINAUZWA
UKUBWA
MITA 28 KWA 18
TAMBALALE
LOCATION: KINYEREZI KWA DITOPILE.
MWENYEWE NDIO ANAEUZA.
MAUZIANO NI SERIKALI YA MTAA.
UKIHITAJI WASILIANA 0620593714
Bei Million 9
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.