s8 hakuna edge ni s8 au s8+ ipi unataka hapo??Habari wakuu mwenye kioo used cha simu aina sumsung s8edge nahitaji anicheki inbox
m nakushauri tu kanunue simu mpya mna kilichonikuta ...... bora nisimalizieHabari wakuu mwenye kioo used cha simu aina sumsung s8edge nahitaji anicheki inbox
Simu ikishavunjika kioo apo hakuna cha kioo fake wala original yni ni bora tu ukanunue mpya tena vioo vya samsung ni ghali mnooKimekukuta nn mkuu
Ulipata kioo fake ama?
Umemaliza kila kitu.Simu ikishavunjika kioo apo hakuna cha kioo fake wala original yni ni bora tu ukanunue mpya tena vioo vya samsung ni ghali mnoo
itakutesa tu iyo simu
Yni ni sawa ukishavunjika mguu ata uungwe vipi hautorejea ktka asili yake
Chaguo ni lako lkn
Si kweli wewe ulipata tu matapeli vioo vimawekwa na simu inakua hai na afya tele.Simu ikishavunjika kioo apo hakuna cha kioo fake wala original yni ni bora tu ukanunue mpya tena vioo vya samsung ni ghali mnoo
itakutesa tu iyo simu
Yni ni sawa ukishavunjika mguu ata uungwe vipi hautorejea ktka asili yake
Chaguo ni lako lkn
SawaaaSi kweli wewe ulipata tu matapeli vioo vimawekwa na simu inakua hai na afya tele.
S8+ ilitoka 2018 ikiwa inauzwa milioni 2+
Leo hii mtu anakuuzia et mpya laki4....5 nawewe unanunua. Hiyo si simu mpya ni used mbovu tu hivyo itakutesa mapema sana
Umepata kwa Bei gani?yangu imelala tu aseeNimepata mkuu asante sana
Mkuu sasa hivi samsung s8 unapsta mpaka 320,000 za kitanzania,napataga wasiwasi sana.Si kweli wewe ulipata tu matapeli vioo vimawekwa na simu inakua hai na afya tele.
S8+ ilitoka 2018 ikiwa inauzwa milioni 2+
Leo hii mtu anakuuzia et mpya laki4....5 nawewe unanunua. Hiyo si simu mpya ni used mbovu tu hivyo itakutesa mapema sana
Haya mambo ukiwa na pesa unafanya.Yni ni sawa ukishavunjika mguu ata uungwe vipi hautorejea ktka asili yake
Nyie watu mnajua kuwatisha wenzenu,mimi nimebadili kioo changu cha A70 na ipo vzr tuSimu ikishavunjika kioo apo hakuna cha kioo fake wala original yni ni bora tu ukanunue mpya tena vioo vya samsung ni ghali mnoo
itakutesa tu iyo simu
Yni ni sawa ukishavunjika mguu ata uungwe vipi hautorejea ktka asili yake
Chaguo ni lako lkn