khamis kilo
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 1,215
- 1,521
Haya madirisha ni 5 kwa 5 yapo vizuri kabisa yapo na nyavu zake yaani unachukua na kuweka tu, kila dirisha moja nataka Tsh 40,000/= tu, yapo madirisha manne 4 nipe mbezi msumi 0716-900915
Yapo vizuri. Vipi vipimo?
Hongera sana bei nzuri naamini utayauza leoleo