Habari Wakuu,
Nahitaji kijana anayeweza kuzielezea vyema bidhaa zetu za ngozi kwenye vipindi vya television na radio ambavyo tunaalikwa. Akiwa Dar au Kibaha ni jirani na vituo vya television...
Mimi nafanya kazi kama wakala wa kampuni inayo jishughulisha na kuuza LAMI Yoyote anaweza nipatia connection ya mtu anaenunua lami za kutengeneza barabara malipo atapata kutokana na mzigo...
PJA Property Dealers tunakukumbusha zimebaki siku tano kuisha ofa yetu ya Tatu za moto. Hivyo changamkia fursa hii ya kipekee kabla hujachelewa.
Miradi yetu na bei zake
Kigamboni - Buyuni
1.5 km...
Wakuu, kama una sehemu unafahamu wanauza miguu ya kitimoto nahitaji ya kununua.
Nimefungua kijiwe cha Kuchemsha Kongoro zake.
Nahitaji order kuanzia 80 na kuendelea.
Nicheki kwa simu 0762 75 31...
Radio Hiyo excellent condition nchi 10 ilikua kwenye Ist Usb Yake imepotea ipo na waya wa GPS tu ipo kitunda Mwanagati laki na 50 haina tatizo lolote
150000 piga Simu 0759117175
Kenwood
Bei : 120000
Star Strong
Bei :85000
Vilevile kuna Air Frier zile za kuchomea chipsi bila kutumia mafuta pia zipo
Location : Kigamboni na chuo DMI Posta
Mawasiliano: 0658825054
Habari ndugu, jamaa na marafiki..
Naitwa Enock, napatikana Mbezi Mwisho (Kimara). Mimi ni fundi wa kutengeneza samani ( Furniture) zote za majumbani kama vile Vitanda, Milango, Kabati, Sofa, Meza...
Tuna ,original complete charger aina zote
usb cable aina zote
covers za sim
screen protector
flash
mouse
memory kadi
earphone(wired and wireless/bluetooth)
battery za laptop
keyboard
ram
harddisk...
Natafuta jina la kuipa NGO ambayo shughuli zake tofauti zitakuwa kuboresha maisha ya watu wa kawaida wa kila rika nchini Tanzania. Jina linaweza kuwa la Kiingereza au kiswahili, lakini liwe fupi...
UDEREVA WA KUJIHAMI
KUTOKA HOME OF EXCELLENCE DRIVING SCHOOL
Imeandikwa na Mr. Manala Tabu Mbumba, Mhadhiri Msaidizi na Mshauri wa Magari-Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT)
Home of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.