Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mashine ya kukoboa, Type; Lola 4 Uwezo wa kukoboa; 10tone, 12 masaa Motor hp; 50hp Bei ; 3million bila motor
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Plots for sale Bagamoyo Mataya Kitalu "B" Eneo la Mataya Wilaya ya Bagamoyo chenye Viwanja vipo slope Viwanja vipo viwili 1. Sqm 1442 2. Sqm 1495 Vinauzwa vyote Bei 13,000,000/=kwa vyote...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Body ya fuso tipa mpya kabisa haijawahi kutumika inauzwa. Huna haja ya kusubiri tena garage wik mbili au na zaiD njoo uivae na kuondoka zako Mawasiliano 0685561474
0 Reactions
1 Replies
2K Views
UPDATE: TAA ZILISHAUZWA Habari zenu Ninazo taa pea moja [2] nimebadilisha nauza pamoja na busta zake kwa sh 600,000/= tu kwa zote mbili za Toyota Harrier [Chogo/Tako la nyani] Napatikana hapa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
1 Reactions
3 Replies
372 Views
Ni Mapazia mazuri sana, Kwa muonekano wa Dirisha lako. Package Ina (Pazia mbili nzito+ Moja jepesi). Size: Mazito kila moja lina upana mita 1.5, Lace Ina upana mita 3. Deliveries zipo kwa Dar...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Kiwanja kinauzwa njiro karibu kabisa na barabara ya lemara. Kwa wale wanaojua kanisa la KKKT Lemara ndio hapo hapo karibu. kabla haujafika kikwakwaru stendi. Kiwanja ni 30 kwa 15. kina msingi...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Chagua nkupe bei Brenda inasaga mpk mahindi 0718909429
3 Reactions
12 Replies
836 Views
Habari wanajukwaa, Nina fursa ya kusambaza baiskeli kutoka Finland kwa nchi za Afrika Mashariki. Mnunuzi wa jumla anakaribishwa kwa maongezi ya biashara.
1 Reactions
32 Replies
7K Views
Ndugu mfanyabiashara, kwanini uwakimbie TRA kwa kukosa mashine ya EFD? Tumekuja na suluhishilo la tatizo lako. Sasa unaweza kutumia simu yako janja kutoa risiti ya EFD na kumtumia mnunuzi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
TOYOTA MARK X (DHT) Price : 9million TZS Model2006 Cc2480 Km88000 Full Ac Sports Rims & New tires Colour: Pearl White DVD/CD/USB port/FM Radio Clean Interior Loc:SINZA Call 0622-644-651
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari nauza laptop yangu iko na hali zuri haina tatizo lolote Ina Ram 4 GB Charge inakaa sana zaid ya masaa matatu Intel 1:10 ghz No:0748008079 Price Tsh 250000 SOLD, SOLD, SOLD
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Toyota Crown
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Karibu ujengewe mtambo WA BIOGAS WA SAIZE MBALIMBALI 4 mita cubu ,8 mitacubu ,15,21,32,65,100 na kuendelea kulingana na nahitaji yako ,0686124826
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Stabilizer inauzwa Bei: 40,000/= location: Dar Mbezi Mwisho Tel: 0758597106
2 Reactions
5 Replies
875 Views
Habarini Ndugu zangu wa JF! Naombeni msaada wa kujua gharama za kusafirisha mzingo usiozidi kg 2 kwa kutumia basi kutoka daresalam kwenda mikoani! Kutoka Dsm kwenda Arusha, Kilimanjaro, Morogoro...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Make : Toyota Model : Crown Athlete (CBA-GRS180) Mileage : 54,750km Engine size: 2,500cc Gasoline : Petrol Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. ) Transmission : Automatic M/Year : 2004...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Make : Toyota Model : Crown (GRS180) Mileage : 79,833km Engine size: 2,490cc (4GR) Gasoline : Petrol Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. ) Transmission : Automatic Drive : M/Year ...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu ni Kiwanda gani nitapata Turubai zile za nailoni za rangi ya Blue, Kama zile ambazo watu hutembeza barabarani kama pale Mataa ya Mwenge.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Tunauza mashine za photocopy used pamoja na vifaa vingine vya ofisi zilizo katika hali nzuri na ubora..spea zake zipo ..toner pia upo ..na tunatoa warranty ya siku 30,Bei zetu zinatofautina na...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom