Nahitaji mwanasheria(advocate) Bunju

Mshimba1971

Member
Dec 13, 2021
75
66
Wadau salaama!

Nahitaji huduma ya mwanasheria(advocate) kwaajili ya kuthibitisha(certify) vyeti vyangu na baadhi ya documents. Awe maeneo ya Bunju au karibu na huko. Nicheck inbox kama una any leads.
 
Kuthibitisha vyeti siyo lazima ya advocate wa Bunju.mwanasheria yoyote yule anaweza.ni hela yako tuuu
 
Kuthibitisha vyeti siyo lazima ya advocate wa Bunju.mwanasheria yoyote yule anaweza.ni hela yako tuuu
Ni sawa, nahitaji wa maeneo ya karibu na nilipo(Bunju/Tegeta) kwani ni huduma endelevu. Si unajua nauli sasa ni mtihani kwa sasa.
 
Mleta mada hapo jirani yako hakuna mahakama hata ya mwanzo.
Beba pesa kidogo watakusaidia.
 
Back
Top Bottom