Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Karibu Ujipatie Roll up banner kutoka Africa Rise Up kwa size tofauti tofauti kwa gharama nafuu kabisa. Price:200,000/= tu. Tunapatikana Mianzini Mataa, au Tupigie; 0788 429 756...
1 Reactions
1 Replies
854 Views
Habari wandugu Mdogo wenu ndio kwanza naanza maisha ya gheto kwa mwenye vifaa tajwa hapo juu anijuze tafadhali haijalishi imetumika kwa mda gani madam iwe nzima napatikana Dar kwa mwenye navyo...
0 Reactions
3 Replies
724 Views
Karibu ujipatie Brochure kali toka Africa Rise Up A5 size, pieces 100 Price 50,000/= Tunapatikana Mianzini Mataa. Au tupigie kupitia namba: 0788 429 756 au 0752 466 942
0 Reactions
0 Replies
465 Views
Wakuu nina shida na waterguard zimeadimika sana. Nahitaji ile ya maji. Kila nikitafuta naona ya vidonge pekee. Mwenye nazo au kujua wanapoziuza aniandikie hapa
0 Reactions
0 Replies
548 Views
Karibu Africa Rise Up, upate design ya uhakika ya bidhaa yako kutoka kwa professional designers wetu. Tunapatikana Mianzini Mataa. Bei:35000/= Tupigie namba: 0788 429 756...
0 Reactions
2 Replies
623 Views
kama una kabati la alluminum used la futi 5 upana na juu futi 4 naomba tuwasiliane nipo DSM Tanzania. 0768048752
0 Reactions
1 Replies
459 Views
Chumba kinahitajika Dodoma mjini Bei ianzie Elfu ishirini kwa Mwezi ( 20,000 ) Mwenye nacho ?
1 Reactions
2 Replies
581 Views
Jeki hio hapo. max power: 3 tonnes. 0713096076 bei elekezi: 50,000 karibu sana, tabata aroma Dsm ujipatie kinyanyuzi cha gari yako kwa bei poa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1997 Land rover discovery inauzwa Transmission: Manual Fuel: Diesel Other: CC 4000 TDI Vitu vyote kwenye gari ni vizima kasoro engine tu ndo ambayo inahitaji replacement Bei ya engine mpya ni...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Natafuta dvd player yasony home theater system dz 350 1000w 5.1
0 Reactions
0 Replies
718 Views
Mbao zenye dawa treated zisizoliwa na wadudu zinapatikana kwetu kwa bei za jumla na reja reja. Tunatoa ofa za Misumari ya Bure 10kg na Ofa ya Usafiri wa kukupelekea mzigo sait Bure! Tunapatikana...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nauza kiwanja cha heka 6 kilichopo kata ya Kiromo wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani. Baada ya kufanya tathimini ya muda na kuweza kuangalia thamani...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nb; bei iliyopo kwenye tangazo ni bei elekezi. Pia tunafundisha programming language za web app na Android. PHP, PYTHON, JS, JAVA, KOTLIN. LARAVEL, FLASK, REACR. Kwa bei za mafunzo...
0 Reactions
0 Replies
574 Views
This training is intended to Equip participants with necessary skills for preparing Financial Statements using Microsoft Excel techniques... Meet the experts in the field of Accountancy... Call...
0 Reactions
2 Replies
699 Views
Kwa mahitaji ya bata na vifaranga vya bata bukin Mallard Jumbo perkin Khaki Campbell Indian runner Ruen Wanapatikana CHANIKA KWA SINGA, ILALA DAR ES SALAM Call: 0746 696878 Instagram: ILUNDA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tvs king Mc970bwa Year 2017 Bei ni milioni 4. Ipo dodoma. Haina tatizo lolote. Njoo na fundi na dereva unae mwamini. Mawasiliano zaidi.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Zamani walikuwa Mandela road. Nw wamehama. Anaefahamu walipoamia anisaidie plz. Maana nimejaribu ku-Google, sijawapata. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Chumba kimoja cha kulala ambacho ni master,jiko, ukumbi. Na ndan Kuna Min supermarket inajengwa . zipo nyumba Tisa sehem moja. Mazingira mazur, zinajitegemea maji na umeme. Kodi ni 200,000/= Kwa...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wadau, nimeshikwa na shida nauza kiwanja changu kilichopo Mwanzo mgumu chanika. Ukubwa hekari moja Bei 2.5m maongezi yapo Mawasiliano piga simu 0718658747
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa bukoba nyanshenye bukoba mjini kwa wazawa wa kagera. ~Size 20x40m ~Price milion 5 ~Negotiation is there. ~whatsap 0767579770
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom