Mkuu nadhani ungetoa madini uliyonayo kuhusu upatianaji wake kwa faida ya wengiUpo mkoa gani tukuelekeze urahisi?
Vipi makadilio ya bei kwa used na kwa mpya mkuu.Unataka mpya au used?
Kama unataka mpya nenda sleep way
Mule ndani kuna duka
Used nenda maeneo ya feri,pale kwenye katakana kuna mafundi utapata connection
Kama uko dar lakini
Ova
MwanzaUpo mkoa gani tukuelekeze urahisi?
Hapa ndo umeongea maana nilitaka nikwambie uende slip way nikasita sababu sikujua upo mkoa gani.Mwanza