Kazaliwa MakkaWadau nahitaji ist ya cc1290, ila sitaki dalali, owner anaeza nichek inbox, preferably namba DM kushuka chini
Hahaha mkuu hauna hela halafu hautaki vipengele...🤣🤣🤣Namimi nataka mwenye Vitz old model Anichek ..staki dalali Jaman ,, Namba Iwe B au C ,,Gari isiwe na Vipengele
Mkuu vipengele Tutakondeshana na kutiana vidonda vya tumboHahaha mkuu hauna hela halafu hautaki vipengele...![]()




Hapo CA utaipataNahitaji Bajaj iwe TVS kuanzia na C na D nina 3m mpaka 3.5m kulingana na ubora
Offer yako bossIpo lakin dalali mie
9m boss maongez yapoOffer yako boss
Haka ka vitz vipiNa mimi nataka mwenye Vitz old model Anicheki, sitaki dalali Jamani, Namba Iwe B au C, Gari isiwe na Vipengele.