Biashara ya Wallpapers/Karibu Ujifunze

Dec 23, 2016
31
69
Biashara ya wallpapers inakua kwa kasi sana Tanzania. Hii ni kutokana na uhitaji na unafuu wa bidhaa hizi. Wallpapers zinatumika katika maduka ya ofisi na nyumbani pia kama moja ya kuifanya nyumba kua ni ya kisasa.

Maduka ya frame kama saloon, urembo na ofisi za ma graphics designers hupendelea zaidi bidhaa hizi. Pia mbali na Dar es Salaam, soko la mikoani ndio kubwa zaidi.

Nifupishe story, lengo langu nikukushawishi wewe unaewaza biashara yakufanya. Wallpapers ni miongoni wa biashara zitakazo kulipa.

Mimi hua naagiza China moja kwa moja na hua naziuza huku kwa jumla na rejareja. Kwa bei ambayo huwezi kuipata popote pale.

Unaetamani kujihusisha na biashara hii karibu nikuuzie rola moja kwa shilingi 15000 pekee ukichukua kuanzia rola 10. Kwa wale wa rejareja nauza rola moja 18000 (hii ni bei yangu huipati popote kwingine, wengi wanauza 20, 25 hadi 30)

Ukichukua wallpapers kwangu kwa bei ya jumpa unaweza kuuza elf 20, 25 mpaka 30 kwa rola moja. Wamikoani nawasihi zana hii ni fursa ambayo huyoipata kirahisi.


Wallpapers zangu zina gundi moja kwa moja hivyo hazihitaji fundi wala ufundi wakitaalamu kuzibandika.
Zina urefu wa 10m na upana wa 45cm

Ni biashara nzuri sana kwa anaetaka kujifusisha nitafute kupitia 0745624754.

Nimeweka baadhi ya sample zilizopo, nipigie kwa maelezo zaidi

IMG_4003.jpg

IMG_4004.jpg

IMG_4526.jpg

IMG_4658.jpg

IMG_4699.jpg

IMG_4703.jpg

IMG_4705.jpg

IMG_4700.jpg

IMG_4696.jpg
 
Back
Top Bottom