Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Make; Mazda Verisa Year ; 2010 Engine : 1498 Gear ; Automatic Wheel drive; 2 Wheel drive Colour ; White Odo ; Low milleage Exchange deal allowed. Imported from japan straight. Changamoto, Tairi...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
SIMU IKO VIZURI MNOO battery 100% Finger [emoji736] Storage 64 GB EXCHANGE RUKSA KWA SIMU YEYOTE
0 Reactions
0 Replies
350 Views
ONDOKA NA GARI KWA BEI NAFUU SANA KARIBU WHATSAPP KWA MAELEZO ZAIDI 1.TOYOTA SPACIO ENGINE 1zz Engine cc 1970 Full Ac Full Document Bei Mil 8.8 2.RAUM NEW MODEL 2004 REG #DE Low Milleages. Engine...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Moja ya tatizo linalokumba taifa letu ni kuchelewa kwa miradi ya gesi na mafuta. Majadiliano yamekua yakichukua muda mrefu sana. Labda pengine changamoto imekua kwenye kuelewana na kuridhiana vile...
1 Reactions
4 Replies
933 Views
Nina mpango wa kuanza kufaulisha Ng'ombe Hadi Kenya, nimepata soko lakini naomba kujua bei ya Ng'ombe mwenye uzani hai wa kill >ya 400 ni shilingi ngapi na ninaweza kuwapata wapi. Nitashukuru wadau
0 Reactions
2 Replies
831 Views
Nauza raba original za kiume Dar nakuletea ulipo free delivery Mikoani natuma no zangu 0659557947 Bei ni 25000
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Habari ya jioni wakuu. Ninaulizia ofisi tajwa hapo juu kama kuna ambaye ana taarifa zao ama alishawahi kuwatumia. Wanadai kuwa guwa wanafanya usafirishaji wa vifurushi kayi ya Dubai na Dar es...
1 Reactions
0 Replies
546 Views
Ndugu yangu natafuta camera nzuri Used yenye uwezo wa still picture Kali niingie nayo vijiweni tayari nina mashine ya picture nzuri EPSON L850 Naomba Pia ushauri wa Camera hizo nitashukuru Sana...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Salaam! Naomba kwa wenye kufahamu ninapoweza kupata mbegu za Mninga na Mpingo. Natanguliza shukurani.
2 Reactions
22 Replies
2K Views
ANAITAJIKA MCHOMA MBUZI NA MISHIKAKI MWENYE UZOEFU MZURI, KWAAJIRI YA BIASHARA BUNJU B. MARIPO NI TZS 5,000 KWA SIKU NA BONUS YA KILA MWEZI KUTOKANA NA MAUZO NA UBORA WA KAZI. KAMA UKO SAFI NA...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari wakuu, mwenye simu tajwa hapo juu , nicheki kwa 0713 039 875
0 Reactions
4 Replies
961 Views
Naomba msaada anaejua mtu anayeuza soya ya chakula cha kuku jumla aniambie
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Karibu dukani kwetu;Tunauza Urembo aina mbalimbali kwa kina dada na wanawake kwa ujumla; NB:-Vito havichuniki wala kupauka! Unaweza kuthibitisha kabla ya kulipa;Dar ni free Delivery na mikoan...
3 Reactions
0 Replies
315 Views
Phytodefence ni bidhaa ya Afya yenye bidhaa aina 3 ndani yake ⤵⤵⤵ 1.Carotenoid complex. 🌠Huongeza kinga ya mwili kwa 37% kwa ikitumika ndani ya siku 20 🌠Huondoa vimelea vyote vya saratani...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wakuu Nina shida na vifaa kwa ajili ya kukaangia chipsi, kama jiko, kabati la aluminium, karai , viti nk Au mwenye chochote kati ya hivyo hapo juu aje tuongee biashara Nipo dar es salaam...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari, Kwa yoyote anayehitaji hii machine, naiuza, ni yangu, nimeitumia kwa miezi miwili tuu, ni nzima kabisa, nauza kwa sababu nimekosa muda wa kusimamia, machine ipo Morogoro. Bei ni...
1 Reactions
2 Replies
738 Views
Nyumba inauzwa (lakini ni muhimu zaidi ukiwa unanunua kama kiwanja ukubwa wa eneo 20 kwa 25 sqr 450. Umbali kutoka manzese tiptop stand ni km 1. Kwa unayeijua Manzese hii sehemu ni potential...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Naamin huu uzi unaweza usiwe wa kwanza kwako juu ya ujuzi wa kufungua Kampuni na umekua ukipata ujuzi kutoka kwa watu mbalimbali Lakin ngoja nikuulize swali “unahisi bado kuna kipande cha ujuzi...
1 Reactions
2 Replies
736 Views
Karibuni mjipatie Shamba la eka saba kwa bei nafuu ya shilingi milioni 25. Shamba liko umbalinwa kilomita mbili na nusu kutoka barabara ya lami ya Dqr Morogoro. Shamba linafaa kwa ufugaji wa kuku...
3 Reactions
41 Replies
3K Views
Habari. Kuna Gunia 200 za alizeti ziko sokoni kwa anayehitaji. Shehena iko Kongwa Dodoma Pia wafugaji mnakaribishwa mjipatie Mashudu. Tupigie +255-767-11-222-1 WhatsApp Открыть WhatsApp Twitter...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…