Natafuta vifaa vya Chips

Tariq f

JF-Expert Member
Dec 11, 2021
233
345
Habari wakuu

Nina shida na vifaa kwa ajili ya kukaangia chipsi, kama jiko, kabati la aluminium, karai , viti nk
Au mwenye chochote kati ya hivyo hapo juu aje tuongee biashara
Nipo dar es salaam temeke
 
bongo bhana si ukanunue vyako ufanye biashara. ustarajie vitu used vikakuacha salama tuna umaskini sana hadi vifaa vya kuanzia biashara tunasubiri vilivyotumika. kwan ukitenga 1m yako hujapata vyombo vya kisasa vya kutengenezea na kupikia chipsi? hizi biashara zina mambo meng heb jitahdi uwe na vitu vipya utakuja kushuhudia haapahapa
 
Najaribu ku minimise costs,
Dukani tofauti na used
Then uchumi tunatofautiana
 
Habari wakuu

Nina shida na vifaa kwa ajili ya kukaangia chipsi, kama jiko, kabati la aluminium, karai , viti nk
Au mwenye chochote kati ya hivyo hapo juu aje tuongee biashara
Nipo dar es salaam temeke
Habari mkuu upo Temeke ipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom