Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tunatoa huduma zifuatazo kwa WELEDI na katika UBORA wa KIPEKEE,hivyo basi karibu sana tukuhudumie kwa kukushauri na kukusimamia vizuri kwenye hiyo CHANGAMOTO yako inayokusumbua: [emoji419]...
0 Reactions
1 Replies
793 Views
Je Unahitaji simu IPO Samsung galaxy A10 plan bei 130,000 Tu 0625493283 Storage GB 32 Ram 4 GB
0 Reactions
2 Replies
604 Views
Naitaji pikipiki Used mbili tvs / boxer na Toyo / Sanya Bajeti: laki saba Saba Kila Moja Yeyote mwenye nayo naomba tuwasiliane. Tuwasiliane kwanza pm Kisha nitakupatia namba zangu Gharama za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello, habari pole na majukumu wakuu. Nimekuja mbele yenu natafuta Web Developer ambaye yupo competent tufanye kazi, malipo kila kitu tutamalizana. Kama una ndugu, jamaa au rafiki nipe...
1 Reactions
1 Replies
985 Views
Mimi ni mtaalamu wa kutengeneza mifumo lain ya Computer (Software Developer), Kwa yeyote anaye hitaji website, blog na mifumo ya ofisi nicheki tufanye kazi. 0621012703
0 Reactions
3 Replies
665 Views
TOYOTA ALLION (DRG) MPYAA SANAA PRICE MIL 12 Make: TOYOTA Model: ALLION Engine code 1nz Engine capacity; 1490 cc Mileage: Low Mileage Full ac Full documents. Transmission; Automatic Imported...
0 Reactions
0 Replies
921 Views
Bado ipo ktk hari nzuri sana, ni diesel, ingine bado haijaguswa . Bei 15M ipo ilala Dar es salaam tuwasiliane 0657145555 au 0782 715410.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
CC 1290 Full A/C Fog light Sport Rims 12mil. IPO KATIKA HALI NZURi
1 Reactions
2 Replies
649 Views
What's good? Nauza gaming desk ikiwa brand new in the box imported from UK. Maelezo yake haya hapa. Ingiza hizi codes Google uione meza yenyewe 836-205RD HOMCOM HOMCOM Gaming Desk Steel Frame w/...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana jamiiforum. Tumesajiliwa kama kampuni ya kukodisha magari. Tunakodisha magari aina zote makubwa kwa madogo kwa ajili ya Taasisi,harusi,msiba, na miradi mikubwa kwa midogo kwa bei...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
DELL LATITUDE LAPTOP INAUZWA SPECIFICATIONS: Screen Size: 14 inch Processor: Intel Core i3 RAM: 4GB Hard Disk: 500GB Bei: 500,000 Mawasiliano: 0768444224
0 Reactions
0 Replies
643 Views
Habarini wakubwa kwa wadogo, natafuta gari ndogo ata ikiwa namba A iwe ni corolla, carina n.k nitakayoweza kuingia mkataba kwa malipo ya awamu ili iwe naifanyia kazi, kwa mawasiliano zaidi...
0 Reactions
0 Replies
579 Views
Nanunua kuku wengi wa kienyeji-mtetea kwa shilingi 5000/=. Kama una kuku wa kienyeji mtetea kuanzia 50, 100, 200, 1000 n.k nanunua kwa bei hiyo Arusha. Ufugaji unalipa.
1 Reactions
49 Replies
7K Views
Kama title inavyojieleza hapo juu wakuu,mimi ni mtu wa masoko kutoka kampuni ya Riyakh logistics,kampuni yetu inahusika na usambazaji wa mafuta ya petrol pamoja na diesel mahali popote pale ndani...
1 Reactions
7 Replies
465 Views
Kiwanja kinapatikana eneo la mbopo-madale ndani ya wilaya ya kinondoni mkoa wa Dar es Salaam. Kiwanja hakijapimwa,ila kina hati ya mauziano kutoka serikali za mitaa. Kiwanja kiko eneo zuri...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Make: Toyota Model: Land Cruiser Prado Year: 2003 Odometer: 122,801km Engine: 3RZ-FE (2693cc - 2.7L) No Accident, No Faults, Well Maintained. Location: Dar es Salaam, Tanzania. Contacts...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kivyo hapo, nahitaj shamba/eneo , heka moja au mbili kwaajil ya kufuga, iwe ndani huko nje ya mji Mwenye kuweka pendekeza vijiji labda niende au mwenye kujua mtu...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari gani wanazengo? Nahitaji Plot safi maeneo ya Moshono, Arusha. Budget yangu TZS 7,000,000/= mpaka 9,000,000/= Kati ya Sqm 450 na 600sqm Kisiwe mbali na Lami. Iwe imepimwa safi kabisa...
0 Reactions
1 Replies
724 Views
Habari Wana jukwaa Hongereni na poleni kwa changamoto ngumu za ujenzi wa nchi. Maelezo Kiwanja kinapatikana wilaya ya ilala, Jimbo la Ukonga. Kata ya Kitunda Kutoka Banana unapanda gari za Magole...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…