Hapa utakutana na magari ya aina tofauti tofauti na bei ya kipindi cha Magufuli.
Magari kuanzia namba A mpaka D za mwishoni
Utapata chassis kutoka Japan na ukihitaji kutoka Zanzibar utapata pia...
Habari Wana jf
husika na kichwa cha habari juu, nauza nyumba chanika, njiapanda ya nyeburu upande wa mkono wa kulia ukitokea ngongolamboto, ipo jirani na shule ya DOCTOR ELIMU, ina vyumba viwili...
Inatokea unataka kuja DODOMA kusoma, kuishi au hata kikazi, nakusihi uwasiliane namimi endapo mahitaji yako ni chumba cha kuishi, nyumba au hata appartment.
Mpangaji huweza kulipia mara baada ya...
Habari zenu wakuu
Hiking NI kifaa kinachorahisisha kazi ya ufungaji wa MADISHI
Nilikinunua Mwanza mwaka HUU mwezi wa 5 kwa TSH 200000
Nimekwama kipesa hivyo nakiuza ili nipate PESA ninayohitaji...
Habari za muda huu wakuu,kama kichwa kinavyojieleza,kwa wale wazoefu wa jiji ningependa kuuliza ni gym gani ambayo ni nzuri with affordable price kwa maeneo ya kariakoo,upanga,msasani na...
Kiwanja kipo Msangani, Karibia na zahanati ya Kibaha kwa Mathias Msangani.
Ukubwa mita 20 kwa 24
Milioni mbili na nusu
Km 6 toka Morogoro road
Umeme na maji vipo
+255 762 689 034
BIASHARA IMEFUNGWA: LAPTOP IMEUZWA
Ahsante kwa kupitia tangazo
Habari zenu!
Nauza laptop mali yangu mwenyewe haina dalali yenye maelezo haya:
Aina: Hp Elitebook Vpro
Folio: 1040, touch screen...
Nauza iPhone 8 Plus, 64 GB, simu ipo Dar es salaam. Bei ni 389,000 tshs.
Negotiable.
Kama unahitaji nicheki hapa au dm. Unaweza pia kunicheki
Whatsapp: +8619974300439
Biashara ya wallpapers inakua kwa kasi sana Tanzania. Hii ni kutokana na uhitaji na unafuu wa bidhaa hizi. Wallpapers zinatumika katika maduka ya ofisi na nyumbani pia kama moja ya kuifanya nyumba...
Katika utekelezaji wa miradi, wakati mwingine mteja (client/beneficiary) hutarajia huduma zenye ubora wa kiwango fulani/mtindo fulani tofauti na uwezo wetu katika kuzalisha. Hali hii kwa kiasi...
Kiwanja chenye ukubwa wa sq.909, kinauzwa, bei milioni 5.5
Kipo Nghonghona, kilomita chache sana kutoka Benjamin Mkapa Hospital, Dodoma. Kimepimwa. 0779017650
Kimewekewa beacon kabisa, very...
Tunazo sub woofer za aina mbali mbali kutoka sea piano,aborder,pinetech na keptech.
Dar es salaam na maeneo ya jirani unaletewa mpaka nyumbani,mkoani tunatuma pia.
tunafute vica electronics...
Nauza simu aina ya infinix hot 12 i imetumika wiki moja tu.Ina document zote risiti na warrant card ya mwaka mmoja toka infinix
PROPERTIES
1.RAM 2.00 GB
2.ROM 64GB
3.CAMERA 8M
4.13M TRIPLE CAMERA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.