Iwe na hivi vitu
-4K
-120Hz(fps)
-55'/65'
-HDMI 2.1
Ata ikiwa USED imrad iwe kwenye condition nzr na box lake
Iwe kampuni yoyote ilimradi iwe na hvyo vigezo, karibun
Fiberglass boat zinauzwa zina urefu wa mita 7 na upana wa mita 1.6 hazina engine na canopy. Zimetengenezwa nchini Indonesia na kuletwa Zanzibar, ni mpya boti mpya.
Unaweza ukatumia kwa...
* Zimewasili chache na bado tumeagiza mzigo mwingine
* Mashine zinatumia teknolojia maalum (Xfoliant technology) kuondoa ukungu wa taa na kuifanya taa ya gari yako kurudia upta wake
*Ni rahisi...
Wakuu naamini mko poa!
[emoji117]Vioo vya magari yetu vimegeuka matanuri pale tunapo park juani?
[emoji117]Dashbord na siti vinachoma kama pasi pale unapofungua mlango na kuingia garini kwako...
Naihitaji nissan march mgongo wa kobe, mkali unenyooka au mazda demio zingatia iwe Mwanza au Shinyanga, sina hela ya kufata mikoa mingine njoo na offer.
Tunauza korosho nzuri kwa. Bei nzuri kutoka mtwara mahali popote pale Mzigo unakofikia ni kuweka Order yako mapema na kwa wakati , Tupigie kwa No 0712359510,0712359510...BEI ( Price) zetu 25,000...
Wakuu kama kuna mtu anauza/anasukuma gari yake aina ya Mazda tribute anicheki inbox haraka.
Gari iwe kuanzia namba D, good condition, rangi haiharudiwa wala kuwahi kupata ajali, njoo na offer fasta.
Habari wadau wa ufugaji. Natafuta shamba liwe karibu na barabara za mitaa kiasi nilichonacho ni laki na nusu kwa kila heka. Nahitaji heka kumi. pia lisiwe Na migogoro yeyote.
TAYARI IMESHAKUA WEEKEND.....FANYA BOOKING YAKO YA USAFI TUPIGIE SASA....[emoji337][emoji337][emoji337][emoji337] [emoji120] UTAPATA HUDUMA YA USAFI WA NYUMBA YAKO NA OFISI YAKO KWA GHARAMA NAFUU...
Wanahitajika vijana wanne 4, umri miaka 16-22, watakaa kwangu, (baada ya kufahamiana vema na wazazi/walezi wao)
Watakuwa na kazi ya kuuza matunda kwa kutumia matoroli, baada ya mimi kuweka mtaji...
Ni Property Investors Company (PIC) inauza Viwanja vyenye sifa zifuatazo:
[emoji736] Viwanja vipo Vigwaza Mkoa wa Pwani karibu na bandari kavu ya Kwala.
[emoji736]Vipo umbali wa km6 toka Vigwaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.