Stationery Inauzwa. Bei 2,500,000 (Hakuna Punguzo). Stationery Ipo Mwanza, Jirani na chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino. Stationery ipo katika eneo zuri sana na inawateja wengi sana. (Sababu za...
Kwa wale wanaohitaji kufaham kinagaibaga biashara ya madini kitabu hiki kitakupa mwanga wa wa kujua yafuatayo
1.Aina za madini na mahali yanapopatikana nchini Tanzania
2.Bei ya madini sokoni na...
Mifumo salama kwenye nyumba yako au ofisini kwako.
Gesi ya kupikia inahitaji kuwekewa mfumo salama kwa kufanya pipeline ambazo zitakwenda kwenye jiko au mahala inapohitajika gesi kutumika Tu...
Kiwanja nikizur Sana
Kinauzwa kipo kimara suka
Ukubwa ni mita 20 kwa 22
Kimepimwa na serikali yamtaa bado Hati. Bei milioni 👉 12 maongezi yapo
Usafili upo mwingi tu bajaji Tsh. 700...
Salaam ndugu zangu wana jf!
Nauza bata aina ya Muscovy na Pekin, jumla wapo 31. Kati yao majike ni 16 na madume 15. Ni wazuri na wana maumbo makubwa. Majike wote wanataga. Wanafaa kwa vyote as...
Kipo Kibaha kwa Mathias karibu na kambi ya jeshi nyumbu mtaa unaitwa mita 50, kimejengwa vyumba viwili na choo. Vyumba vimewekewa umeme tayari, maji pia yamefika maeneo hayo.
Kimepimwa kwa hatua...
Hi wakuu,
Kuna nagari kemkem,yapo kwenye hali nzuri na kiwango...
We niambie unataka gari gani na budget yako ni ngapi?Ntapost yaliyopo hapa
Karibu
Serious buyers only!
Tiririka hapa
Ama ujumbe PM
Je,Una Bajeti ya Laki 350k na unahitaji Simu yenye Camera Nzuri inayokaa na Chaji??
Njoo nikuuzie Simu yangu TECNO CAMON 19, Bado Mpyaa kama unavyoiona
[emoji117] 64MP camera, 5000mAH battery na...
Toyota Vitz New Model (DMZ)[emoji91][emoji91][emoji91]
.
YOM: 2005
Engine Capacity: 990cc
Automatic
Petrol
Mileage: 95,000 Kms
Color: Silver
Haijarudiwa rangi popote
Haijawahi kupata ajali
.
Bei...
Sony PlayStation 3 (PS3) inauzwa.
Imetumika kwa mwezi mmoja (1)
*Ina HDD yenye 250 GB.
*Inakuja na padi mbili (2)
*Inakuja na waya wa power, waya wa HDMI na nyaya mbili (2) za kuchajia padi.
*Ina...
Nimelima vitunguu maji nakuvuna gunia takriban 200 natafuta mteja au wateja kwa anahitaji whatsapp namba 0622258133
Aina ya kitunguu ni CHEKUNDU.
Kimepakiwa kwenye gunia saizi ya kati maarufu...
Model: Creality Ender 3v2
Materials Supported
ABS, PLA, PETG, TPU
Number of Print Colors
1
Number of Extruders
1
Frame Design
Open
Printer tajwa hapo juu ipo sokoni, imetumika kidogo...