Ipo Kibaha picha ya ndege Master bedroom 1
Vyumba vya kulala vi4
Jiko na store
Public toilet
Parking
Kiwanja ni 515square metres
Mashimo mawili ya choo
Kina HATI
Bei ni 23mil maongezi yapo
Kwa...
Habari za mda huu wakuu, kama kichwa cha uzi kinavyojielezea hapo ninanunua mayai ya kuku wa kienyeji kwa bei ya jumla.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Kitalu ED
Matumizi ya kiwanja: MAKAZI NA BIASHARA
Ukubwa: SQM 2,400
Bei: 25,000,000
Kiwanja kinafaa kwa ujenzi wa HOUSING ESTATE
Kiwanja kipo mita 400 kutokea barabara kubwa ya kuelekea Dar es...
Nijikite kwenye mada moja kwa moja, natafuta kiwanja cha kujenga nyumba, maeneo ya Arusha isipokuwa nje ya mji kidogo, eneo la wastani tu kama 20x25… bajeti ni milioni tatu 3,000,000/-.
Kiwanja...
Wakuu nahitaji kile kifaa kidogo kinachotumia umeme kwa ajili ya kuulia mbu, kile unaweka dawa yako unachomeka kwa umeme kinaendelea na kazi.
Naomba mwenye kujua wapi nakipata nikanunue kesho...
Kiwanja kinauzwa
Eneo: Kongowe Misugusugu-kibaha
size: 30*20 600square metre
Maji umeme vipo
Nusu kilomita kutoka lami ya Morogoro Road
Hati ya maandikishano ipo
Bei milioni 4.
0744033555...
Tuition nyumbani
Karibu sana kwa maelezo zaidi kuhusu kufundishiwa watoto nyumbani katika mda wao wa ziada.
Elimu nzuri ya mtoto inaanza na support kutoka kwa mzazi. Mpambanie ili afike mbali...
Naomba mwenye Charger ya MacBook hiyo hapo aniuzie kwa bei ya kirafiki ikiwa used poa pia maana charger yangu imeharibika
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Hi apartment IPO kariakoo faya, Ipo floor ya 3 no lift.
inavyumba viwili kimoja ni master sebule jiko choo Cha pablc
bei laki 5 Kwa mwezi Kodi MIEZI 6.
_ sevice charge elfu 30 kila mwisho wa...
Habari za mchana wadau wa jukwaa hili.
Nimeingia kahama kwa lengo la kuishi hapa baada ya kutoka Arusha. Nataka kufanya kazi ya mitumba (pointa).
Natamani sana sana kujua soko kuu la mitumba...
Hiyo link ni Display na bei zake
Hiyo bei ni pamoja na ufundi
Share link
Epateletech epate
====
SIMU:Leo tuzungumuzie vifaa vya mawasiliano tugusie simu
Changamoto kubwa imekuwa ni vioo na touch...
Kiwanja hicho kiko kishili fumagila, Mwanza
(kiwanja cha pili kutoka usawa wa barabara kuu ya Kishili-fumagila-bujingwa-mpaka lami ya Usagara)
Fumagila ipo kishili, unafika kwa Tsh elfu 2 tu kwa...
Habarini Wadau,
Kuna kiwanja kizuri sana kinauzwa SAKINA Arusha, kiwanja kimepimwa na hakina mgogoro wowote, ni cha familia iliyokubaliana kuuza.
Kiwanja kinafaa kwa uwekezaji wowote wa...
Naomba msaada kama kuna mtu ana levelling staff au anajua mahali naweza kupata, iwe used au mpya ila kwa bei chee (bei ya kirafiki). Nina shida nayo very soon.
Asanteni.
Hello family,
Natafuta nyumba ya kupanga kuanzia maeneo ya Kimara temboni mpaka Kiimara mwisho.
Sifa za nyumba
Vyumba vitatu, sebure na jiko, Fence and stand alone. Huduma muhimu kama maji na...